-
Onyo la viongozi wa China na Russia kwa Marekani kuhusu Afghanistan
May 18, 2024 03:39Marais Vladimir Putin wa Russia na Xi Jinping wa China wametangaza baada ya mkutano wao huko Beijing kwamba Marekani na NATO zinabeba dhima ya matokeo ya uvamizi wao wa miaka 20 nchini Afghanistan na hazipaswi kujenga miundombinu ya kijeshi katika nchi hiyo.
-
Uungaji mkono wa makumi ya maelfu ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha California kwa wanachuo wanaopinga ukatili wa Wazayuni
May 18, 2024 03:07Baada ya kukandamizwa mgomo wa amani wa kuketi chini wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha California makumi ya maelfu ya wafanyakazi wa chuo kikuu hicho cha jimbo hilo wametishia kufanya mgomo wa kuwaunga mkono wanafunzi hao wanaoandamana kuunga mkono Palestina.
-
Putin: Kwa sasa hakuna mpango wa kuuteka mji wa Kharkiv huko Ukraine
May 18, 2024 00:28Rais wa Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa operesheni za mapigano katika eneo la Kharkiv nchini Ukraine zinalenga kuanzisha "ukanda salama" utakaozuia mashambulizi Ukraine kufika katika ardhi ya Russia.
-
Italia yaitaka Israel isitishe operesheni za kijeshi Rafah
May 17, 2024 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomesha operesheni zake za kijeshi katika mji wa Rafah, wa kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Ireland kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina
May 16, 2024 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Ireland amesema kuwa, mnamo siku chache zijazo, Dublin itaitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Afisa Myahudi katika serikali ya Biden ajiuzulu kulalamikia mauaji ya kimbari ya Ghaza
May 16, 2024 02:53Lily Greenberg Call, msaidizi maalumu wa mkuu wa wafanyakazi katika Idara ya Mambo ya Ndani ya serikali ya Marekani amekuwa mteuliwa wa kwanza wa kisiasa wa Kiyahudi kujiuzulu hadharani akipinga uungaji mkono wa Washington kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.
-
Takriban wakimbizi elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani
May 15, 2024 08:26Karibu wakimbizi na wahajiri elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani.
-
Uchunguzi wa Independent: Biden anahusika katika mateso ya njaa ya watu wa Gaza
May 15, 2024 03:28Uchunguzi uliofanywa na gazeti la Uingereza la The Independent unasema kuwa, Rais wa Marekani, Joe Biden, anahusika katika baa la njaa linalowatesa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
IDMC: Kuna ongezeko kubwa la ukimbizi wa ndani unaosababishwa na migogoro duniani
May 15, 2024 03:28Ripoti mpya ya Kituo cha Ufuatiliaji wa Ukimbizi wa Ndani (IDMC) inaonyesha kuwa migogoro na ghasia duniani zimesababisha ongezeko lisilo na kifani la idadi ya wakimbizi wa ndani kufikia mwisho wa 2023.
-
Katibu Mkuu wa UN alaani mauaji ya wafanyakazi wa afya huko Rafah
May 15, 2024 03:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani mauaji na kujeruhiwa kwa maafisa wa afya wa Umoja wa Mataifa huko Rafah kusini mwa ukanda wa Gaza.