-
Katibu Mkuu wa UN alaani mauaji ya wafanyakazi wa afya huko Rafah
May 15, 2024 03:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani mauaji na kujeruhiwa kwa maafisa wa afya wa Umoja wa Mataifa huko Rafah kusini mwa ukanda wa Gaza.
-
ICJ itasikiliza kesi kuhusu uvamizi wa Israel dhidi ya Rafah
May 15, 2024 00:55Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) itafanya vikao kujadili hatua mpya za dharura kuhusu uvamizi wa Israel katika mji wa kusini wa Rafah katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
UNICEF yataka kukomeshwa mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel Gaza
May 14, 2024 06:55Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa mwito wa kukomeshwa mauaji ya kiholela dhidi ya Wapalestina, hasa watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
-
FIFA kupiga kura ya kuamua kuifutia uanachama Israel kutokana na jinai zake Gaza
May 14, 2024 06:54Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) mwezi huu linatarajiwa kupiga kura ya kuamua kuifutia uanchama Israel au la kutokana na kutenda jinai kubwa dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Askari 1,400 wa Ukraine wauawa Donetsk, Luhansk ndani ya saa 24
May 14, 2024 06:54Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza habari ya kuuawa wanajeshi 1,400 wa Ukraine katika muda wa saa 24 katika maeneo ya mashariki ya Luhansk na Donetsk, yaliyojitangazia uhuru mwaka 2014, baada ya kutokea mapinduzi nchini Ukraine.
-
Afisa wa jeshi la Marekani ajiuzulu akipinga uungaji mkono wa Washington kwa Israel
May 14, 2024 04:17Afisa wa jeshi la Marekani jana alitangaza kuwa amejiuzulu akilalamikia hatua ya Washington ya kuunga mkono vita na mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Gaza.
-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 13
May 13, 2024 03:45Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia...
-
Borrel asema uhamisho hauvumiliki; aikosoa Israel kwa kuwahamisha kwa lazima Wapalestina katika mji wa Rafah
May 12, 2024 08:46Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amelaani na kuitaja kuwa isiyovumilika hatua ya utawal wa Israel ya kuwaondoa kwa lazima raia wa Kipalestina katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Utawala wa kizayuni umechukua hatua hii huku ukijiandaa kuanzisha mashambulizi makubwa ya ardhini katika mji huo.
-
Rais wa Colombia: Netanyahu ataingia katika historia kama mhalifu wa mauaji ya kimbari
May 12, 2024 07:51Rais Gustavo Petro wa Colombia amemshambulia kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Israel Benjamin Netanyahu akisema historia itamuandika kama mhalifu wa mauaji ya kimbari.
-
Kukanushwa madai ya Israeli na serikali ya Uturuki
May 12, 2024 07:00Kufuatia kufichuliwa kufutwa vikwazo vya kiuchumi na kibiashara vya Uturuki dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Israel, mivutano kati ya pande hizo mbili imeshtadi katika vyombo vya habari vya eneo na kimataifa.