-
Polisi wa Uswidi washambulia waandamanaji wanaounga mkono Palestina katika fainali ya Eurovision
May 12, 2024 03:48Polisi wa Uswidi wamewashambulia waandamanaji wanaounga mkono Palestina wanaopinga ushiriki wa utawala wa Israel katika Mashindano ya Muziki ya Eurovision kusini mwa Uswidi.
-
Baraza la Usalama UN lataka uchunguzi huru kuhusu makaburi ya halaiki huko Gaza
May 11, 2024 23:07Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka, huru na wa kina kuhusu ripoti za kugunduliwa makaburi ya halaiki katika Ukanda wa Gaza, likisisitiza haja ya kuruhusiwa wachunguzi kufikia maeneo hayo na kuwawajibisha wale waliohusika na uhalifu huo.
-
WHO: Mkataba wa majanga wakwama kuidhinishwa
May 11, 2024 08:03Nchi 194 wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeshindwa kuafikiana juu ya mkataba uliotafutwa kwa muda mrefu wa kujiandaa kwa ajili ya kukabiliana na majanga.
-
Kuidhinishwa rasimu ya uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa
May 11, 2024 07:51Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) hatimaye limeipigia kura ya ndio rasimu ya uanachama kamili wa Palestina katika umoja huo baada ya Marekani kukwamisha suala hilo kwa miaka kadhaa.
-
Rais wa Colombia aitaka ICC itoe waranti wa kukamatwa Netanyahu
May 11, 2024 04:29Rais Gustavo Petro wa Colombia ameiasa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa waranti wa kumtia nguvuni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Borrell: Nchi 4 za Ulaya kulitambua taifa la Palestina
May 11, 2024 04:28Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amethibitisha kuwa nchi nne za Ulaya zitaitambua Palestina kama taifa huru.
-
Baraza Kuu la UN laimarisha haki za taifa la Palestina
May 11, 2024 01:21Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa -UNGA limepitisha azimio la kuongezea taifa la Palestina haki ndani ya Baraza hilo, sawa na nchi nyingine 193 wanachama. Pamoja na hayo Palestina bado haitakuwa na haki ya kupiga kura ndani ya chombo hicho cha ngazi ya juu cha maamuzi cha Umoja wa Mataifa.
-
WHO: Mgogoro wa afya ya akili, ndilo janga 'lijalo' duniani
May 09, 2024 22:40Afisa mwandamizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuwa, dunia ipo katika hatari ya kukumbwa na janga la matatizo ya afya ya akili.
-
Madai ya Marekani ya kusimamisha kuupelekea silaha utawala wa Kizayuni wa Israel
May 09, 2024 22:38Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin alidai siku ya Jumatano mbele ya Baraza la Seneti la nchi hiyo kwamba kuupelekea silaha utawala wa Kizayuni wa Israel kumesimamishwa kwa sababu ya utawala huo kutekeleza operesheni ya kuivamia kijeshi Rafah, lakini pamoja na hayo bado hawajachukua uamuzi rasmi kuhusu hatima ya shehena hiyo ya silaha.
-
Putin asema katika Siku ya Ushindi: Hatutaruhusu mtu yeyote kututisha
May 09, 2024 09:56Rais Vladimir Putin wa Russia, amesisitiza kwa mara nyengine kwamba nchi yake haitaruhusu vitisho vya aina yoyote kutoka nchi za Magharibi na kwamba vikosi vya kistratijia vya nyuklia vitaendelea kuwa tayari kutumia silaha za nyukilia.