-
Rais wa Marekani: Nimeupata ujumbe wa wanafunzi wanaounga mkono watu wa Palestina
May 09, 2024 08:53Baada ya zaidi ya wiki tatu za maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani na wahadhiri wanounga mkono taifa la Palestina, Rais Joe Biden wa nchi hiyo amesema ameupata ujumbe wao.
-
AstraZeneca imeondoa sokoni chanjo yake ya Covid-19
May 09, 2024 03:39Kampuni kubwa ya Madawa ya AstraZeneca imeliomba rasmi Shirika la Madawa la Ulaya kuondoa idhini yake ya chanjo ya COVID-19.
-
Mawakili wa Uholanzi waitaka ICC itoe waranti wa kukamatwa Netanyahu
May 08, 2024 23:00Kundi la mawakili wa Uholanzi wameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa waranti wa kumtia nguvuni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Bunge la Ukraine laidhinisha mpango wa kusajiliwa wafungwa jeshini
May 08, 2024 22:59Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
-
Msemaji wa Guterres: Hakuna mtu aliye na haki ya kuitishia Mahakama ya kimataifa ya Jinai (ICC)
May 08, 2024 08:30Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa missada inapasa kuingia Ukanda wa Gaza bila ya kizuizi chochote na kwamba upande wowote haupasi kutoa vitsho kwa wafanyakazi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Bahamas yaitambua rasmi Palestina kama nchi
May 08, 2024 08:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Bahamas imetangaza rasmi kuwa inaitambua rasmi Palestina kama nchi.
-
Wataalamu wa hali ya Hewa: Mwezi Aprili dunia iliathiriwa na joto kali
May 08, 2024 08:09Kitengo cha ufuatiliaji wa hali ya hewa cha Ulaya kimeeeleza kuwa dunia ilikumbwa na joto kali mwezi Aprili mwaka huu; kiwango ambacho kimetajwa kuwa ni muendelezo mtawalia wa hali ya joto kali kwa muda wa miezi 11 ambayo haijawahi kushuhudiwa.
-
HRW yaikosoa Marekani kwa kuupa silaha utawala wa Kizayuni
May 07, 2024 22:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetangaza katika ripoti yake kuwa Israel imetumia silaha kutoka Marekani katika mashambulizi yake dhidi ya eneo la al Habariyeh huko Lebanon.
-
Utafiti: Wahamiaji nchini Ujerumani wanakabiliwa na umaskini kutokana na ubaguzi wa rangi
May 07, 2024 22:52Utafiti mpya umebaini kuwa, wahamiaji nchini Ujerumani wanakabiliwa na hatari kubwa ya umaskini kutokana na ubaguzi wa rangi. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Kituo cha Utangamano na Utafiti wa Masuala ya Wahamiaji cha Ujerumani.
-
Maseneta 12 wa Marekani waitishia ICC: Mkiiandama Israel tutakuandameni
May 07, 2024 03:08Maseneta 12 wa chama cha Republican nchini Marekani wameitishia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwamba itawekewa vikwazo na Washington endapo itatoa hati za kukamatwa viongozi wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Ghaza.