-
Borrell: EU na Jamii ya Kimataifa zinapaswa kuzuia uvamizi na mashambulio ya Israel Rafah
May 07, 2024 03:06Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema, amri iliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwataka wakazi wa mashariki ya Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza wahame katika eneo hilo haikubaliki.
-
Janga la Mafuriko, maporomoko yaua watu 75 nchini Brazil
May 06, 2024 22:48Kwa akali watu 75 wamepoteza maisha nchini Brazil baada ya kutokea janga kubwa la mafuriko.
-
Russia yatangaza, imeharibu kambi 2 za magaidi nchini Syria
May 06, 2024 07:12Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imeharibu kambi mbili za magaidi wanaosaidiwa na Marekani huko magharibi mwa Syria.
-
Polisi waondoa kambi ya waungaji mkono wa Palestina katika Chuo Kikuu cha California Kusini
May 06, 2024 01:09Polisi wa Los Angeles huko Marekani wameondoa kambi ya watu wanaoiunga mkono Palestina pambizoni mwa uwanja wa chuo kikuu cha California kusini.
-
Borrell: Marekani imepoteza nafasi yake katika Nidhamu ya Dunia ya pande kadhaa
May 05, 2024 23:02Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell amesema, Marekani imepoteza nafasi yake katika Nidhamu ya Dunia ya pande kadhaa.
-
Seneta wa Marekani: Wanafunzi wanaopinga vita vya Ghaza wamesimama upande sahihi wa historia
May 05, 2024 23:02Bernie Sanders, Seneta wa kujitegemea anayewakilisha jimbo la Vermont nchini Marekani amewasifu wanafunzi wa vyuo vikuu vya nchi hiyo wanaopinga vita katika Ukanda wa Ghaza na kusema, wanafunzi hao wamesimama upande sahihi wa historia.
-
Maandamano yanaendelea kote duniani kulaani hujuma ya Israel dhidi ya Gaza
May 05, 2024 04:08Miji ya nchi mbalimbali duniani jana Jumamosi ilishuhudia maandamano ya kulaani uvamizi na vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina, ambapo washiriki wametoa wito wa kusitishwa mapigano haraka iwezekanavyo.
-
Ufaransa yamzuia daktari Muingereza aliyekuwa Gaza kuingia nchini humo kutoa ushahidi
May 05, 2024 04:08Daktari mpasuaji mwenye uraia pacha wa Uingereza na Palestina, Ghassan Abu Sittah ambaye ni shahidi wa uhalifu wa kivita wa Israel katika Ukanda wa Gaza, amezuiwa kuingia Ufaransa, ambako alipangwa kuhutubia Baraza la Seneti kuhusu hali ya Gaza.
-
Qur'ani yavunjiwa tena heshima nchini Sweden
May 04, 2024 06:24Mji wa Malmö nchini Sweden kwa mara nyingine umeshuhudia kkuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu. Kitendo hicho cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu kimefanywa kwa ulinzi kamili wa polisi wa nchi hiyo na pia usimamizi wa jukwaa wa Wazayuni.
-
WHO yataka mataifa yakamilishe mkataba wa kudhibiti majanga
May 04, 2024 06:23Tedros Adhanom Ghebreyesus, Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameyataka mataifa ya dunia yakamilishe mkataba wa kudhibiti majanga.