-
Ireland: Lazima tutatambua uwepo wa nchi huru ya Palestina
Apr 10, 2024 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Ireland, Micheál Martin amesema kuwa haikubaliki hata kidogo kukwamishwa na kucheleweshwa kutambuliwa nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa ni Baytul Muqaddas.
-
Juhudi mpya za kuushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 10, 2024 22:51Huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukuendeleza jinai dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Gaza, nchi nyingi za dunia zinajaribu kusimamisha vita vya Gaza na kuufikisha kizimbani utawala wa kutokana na jinai zake za mauaji ya kimbari. Jitihada hizo hasa zimeonekana kushika kasi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Uhispania kuanzisha kampeni ya kutambuliwa rasmi taifa la Palestina, Australia inazingatia hatua hiyo
Apr 10, 2024 08:23Serikali ya Uhispania imetangaza kwamba Waziri Mkuu wa nchi hiyo Pedro Sanchez atakutana na baadhi ya viongozi wenzake katika Umoja wa Ulaya wiki ijayo kujaribu kuunga mkono suala la kutambuliwa rasmi taifa la Palestina.
-
Waislamu katika nchi mbalimbali washerehekea Idul Fitr mwishoni mwa Ramadhani
Apr 10, 2024 04:23Waislamu katika maeneo mbalimbali ya dunia leo wameanza kusherehekea sikukuu ya Idul Fitr inayoadhimishwa baada ya kukamilika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Wafanyikazi wa Google walalamikia kandarasi ya dola bilioni 1.2 na Israel
Apr 10, 2024 04:21Idadi kubwa inayozidi kungezeka ya wafanyakazi wa shirika la kiteknolojia la Google wamejiunga na kampeni ya malalalmiko ya kuitaka kampuni hiyo ya Marekani kuachana na kandarasi ya dola bilioni 1.2 inayoipatia Israel huduma za kitekonolojia zinazojulikana kama Project Nimbus.
-
Kansela wa Ujerumani ashinikizwa kuacha kuipatia Israel silaha
Apr 09, 2024 23:26Mamia ya watumishi wa umma wa Ujerumani wameungana na harakati ya kumtaka Kansela Olaf Scholz aache kuupatia silaha utawala haramu wa Israel huku utawala huo ukiendeleza jinai zake za kivita na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Times: Hamas imeihadaa Israel, kama Muhammad Ali Clay alivyomfanya Foreman
Apr 09, 2024 08:40Gazeti la Uingereza la "The Times" limeandika kuwa Israel itaondoka katika vita vyake dhidi ya Gaza ikiwa dhaifu baada ya kuangukia katika mtego ule ule uliowatumbukiza Wamagharibi kwenye vita vya Iraq, na kuondoka kwenye vita hivyo wakiwa wamechoka zaidi na kuwa hatarini zaidi, sambamba na kupoteza mamlaka yao ya kimaadili.
-
Washindi wa Oscar wajiunga na "Cinema for Gaza"
Apr 09, 2024 07:41Waigizaji mashuhuri wamejiunga na mnada wa "Cinema for Gaza" ili kuchangisha fedha kwa ajili ya misaada ya kibinadamu kwa watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Wagonjwa karibu elfu 14 waaga dunia katika vitengo vya dharura vya hospitali za Uingereza
Apr 09, 2024 07:39Ripoti zinaonyesha kuwa, mwaka jana kila wiki wagonjwa 267 waliaga dunia wakiwa katika vitengo vya huduma za dharura katika hospitali za serikali nchini Uingereza baada ya kukaa masaa zaidi ya 12 wakisubiri kupatiwa huduma za matibabu kama kulazwa na huduma nyingine muhimu.
-
Uingereza: Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa ya kutisha Ghaza
Apr 08, 2024 22:50Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza amekiri kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa makubwa na ya kutishwa kwenye Ukanda wa Ghaza.