-
Wagonjwa karibu elfu 14 waaga dunia katika vitengo vya dharura vya hospitali za Uingereza
Apr 09, 2024 07:39Ripoti zinaonyesha kuwa, mwaka jana kila wiki wagonjwa 267 waliaga dunia wakiwa katika vitengo vya huduma za dharura katika hospitali za serikali nchini Uingereza baada ya kukaa masaa zaidi ya 12 wakisubiri kupatiwa huduma za matibabu kama kulazwa na huduma nyingine muhimu.
-
Uingereza: Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa ya kutisha Ghaza
Apr 08, 2024 22:50Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza amekiri kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa makubwa na ya kutishwa kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Wimbi la kimataifa la kuwaunga mkono watu wa Gaza
Apr 08, 2024 04:14Kufanyika Mkutano wa Kimataifa wa Kimbunga cha Al-Aqsa huko Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia kwa kuhudhuriwa na makumi ya asasi zisizo za kiserikali, wasomi, wanafikra, mwakilishi maalum wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi kadhaa za Asia, kunaoneysha wimbi kubwa la uungaji mkono wa kimataifa kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni.
-
ICJ kusikiliza kesi ya Nicaragua dhidi ya Ujerumani kwa kuunga mkono jinai za Israel
Apr 08, 2024 02:44Majaji katika mahakama kuu ya Umoja wa Mataifa wataanza kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Nicaragua ikiishutumu Ujerumani kwa kuunga mkono "mauaji ya kimbari" yanayotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza.
-
Waziri wa Ulinzi wa serikali ya Obama: Waisraeli kwanza wanafyatua risasi, kisha wanauliza maswali!
Apr 07, 2024 23:14Waziri wa Ulinzi wakati wa utawala wa Barack Obama Rais mstaafu wa Marekani amesema kuwa haishangazi kwamba Waisraeli wamekiri makosa yao baada ya shambulio la hivi karibuni na mauaji dhidi ya watoa misaada wa kimataifa wa shirika la World Central Kitchen (WCK), kwa sababu kwa kawaida wao kwanza hupiga risasi na kisha huuliza maswali!
-
Wataalamu waonya: Ongezeko la joto linazidisha hatari za kiafya
Apr 07, 2024 22:46Wataalamu wametahadharisha kuwa ongezeko la joto duniani linalohusishwa na mabadiliko ya tabianchi linasababisha kuenea magonjwa zaidi yanayoambukizwa na wanyama, huku maeneo mbalimbali duniani yakiathiriwa na vipindi virefu vya magonjwa ya msimu kama vile mafua.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya serikali ya Biden kwa ajili ya kupungaza uungaji mkono wake kwa utawala wa Kizayuni
Apr 07, 2024 03:37Kuendelea vita vya Ghaza na jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasiokuwa na hatia wa eneo hilo na hasa mauaji ya kimbari na utumiaji njaa kama silaha, kumezidisha mashinikizo ya ndani kwa serikali ya Biden ya kumtaka apunguze uungaji mkono wake kwa Tel Aviv, na wakati huo huo, kuongeza pia tofauti kati ya Ikulu ya White House na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Kwa miongo saba, Marekani imeipatia Israel msaada wa dola bilioni 300
Apr 07, 2024 03:34Jopo la wanafikra la Baraza la Uhusiano wa Nje la Marekani limetoa ripoti kuhusu kiwango cha msaada wa karibu dola bilioni 300 ambazo Washington, ikiwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, imetoa katika muda wa miongo saba kuupatia utawala huo.
-
Griffiths: Vita vinavyoendelea Ghaza kwa miezi sita sasa ni usaliti dhidi ya ubinadamu
Apr 07, 2024 03:33Mratibu mkuu wa misaada na masuala ya dharura wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema vita vinavyoendelea Ghaza vimefikia hatua ya kutisha.
-
Siku ya Quds ya aina yake; Kimbunga cha al Ahrar dhidi ya utawala dhalimu wa Kizayuni
Apr 06, 2024 05:51Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu yamekuwa tofauti sana ikilinganishwa na miaka iliyopita; ambapo wananchi katika nchi mbalimbali duniani wameshiriki kwa wingi katika maadhimisho hayo ikiwemo hapa nchini Iran.