-
Rais wa zamani wa FIFA: Msiende Marekani kutazama Kombe la Dunia kutokana na wasiwasi wa kiusalama
Jan 27, 2026 06:56Rais wa zamani wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) amewataka watazamaji wa Kombe la Dunia wasisafiri kwenda Marekani kutokana na wasiwasi wa kiusalama.
-
Katibu Mkuu wa UN: 'Sheria ya Msituni' inachukua nafasi ya utawala wa sheria kimataifa
Jan 27, 2026 03:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kwamba nidhamu ya dunia inazidi kumomonyoka huku utawala wa sheria ukifutwa, na nafasi yake kuchukuliwa na kile alichokiita "sheria ya msituni."
-
Katibu Mkuu wa NATO: Ulaya 'iendelee kuota' kama inadhani inaweza kujilinda bila ya US
Jan 27, 2026 03:08Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte amesema, Umoja wa Ulaya, EU bali hata Ulaya nzima haina uwezo wa kujilinda bila ya Marekani na kusisitiza kuwa, nchi wanachama zitalazimika kutumia hadi 10% ya Pato lao la Taifa kwa ajili ya shirika hilo la kijeshi, ambayo inaweza pia isitoshe.
-
Russia yaionya Marekani kuhusu chokochoko yoyote dhidi ya Iran
Jan 26, 2026 23:05Serikali ya Russia imeionya Marekani kuhusiana na kuanzisha chokochoko yoyote ya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waandamanaji wakusanyika Marekani baada ya afisa wa uhamiaji kutekeleza mauaji
Jan 26, 2026 23:03Umati wa watu umekusanyika Minneapolis, Marekani kupinga uwepo wa maafisa wa uhamiaji wa shirikisho katika jimbo hilo, baada ya kupigwa risasi na kuuawa Alex Pretti mwenye umri wa miaka 37.
-
Ugaidi wa ndani nchini Marekani na mtazamo wa undumakuwili wa Washington
Jan 26, 2026 23:02Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ametaja aina yoyote ya uchochezi au utekelezaji wa vurugu dhidi ya serikali kuwa ni mfano wa ‘ugaidi wa ndani’.
-
Medvedev: Yumkini mataifa mengi zaidi yakaunda silaha za nyuklia
Jan 26, 2026 06:41Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuna uwezekano mataifa zaidi kuzalisha silaha za nyuklia kutokana na kuongezeka ukosefu wa utulivu duniani.
-
Rais wa Shirikisho la Soka Ujerumani: Ni wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia FIFA 2026
Jan 26, 2026 03:31Rais wa Shirikisho la soka la Ujerumani (DFB), amesema ni wakati wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia la 2026 kutokana na hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Moscow: Utekaji nyara wa Maduro ulifanyika kwa uhaini wa ndani
Jan 26, 2026 03:07Balozi wa Russia nchini Venezuela amesema Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, alisalitiwa na vibaraka wa ndani nchini humo.
-
Axios: Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky 'yako karibu sana' kufanyika
Jan 26, 2026 00:19Tovuti ya habari ya Axios imeripoti kuwa Rais wa Russia Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine Vladimir Zelensky wanaweza kukutana kwa mazungumzo ya ana kwa ana muda si mrefu ujao ikiwa mazungumzo yanayoendelea kati ya nchi zao na Marekani yataendelea kufanyika.