-
Marekani yatwaa meli ya mafuta ya Venezuela katika wizi na uharamia wa wazi
Dec 11, 2025 08:03Marekani imeshadidisha ghadhabu za walimwengu baada ya kutwaa meli ya mafuta ya Venezuela katika kile kilichotajwa na serikali ya Caracas kuwa hatua inayoshabihiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel ulio kinyume cha sheria. Caracas iimekemea hatua hiyo ikiitaja kuwa ni "uharamia wa kimataifa."
-
Kwa kuhofia Trump asije akafuatiliwa, White House yatoa vitisho, yaitaka ICC iifanyie mabadiliko hati yake
Dec 11, 2025 02:40Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za kuaminika na kuripoti kuwa, serikali ya Marekani imewasiliana kwa siri na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC na kutishia kuiwekea vikwazo vipya ikiwa itajaribu kumshtaki Rais wa Marekani Donald Trump kwa uwezekano wa kuhusika na uhalifu.
-
Ripoti: Asilimia 10 ya watu duniani wanamiliki asilimia 75 ya utajiri wa dunia
Dec 11, 2025 00:03Ripoti iliyotolewa na The Global Economic Inequality (GEI) kuhusu ukosefu wa usawa wa kiuchumi duniani imeonya pengo linaloongezeka kati ya matajiri na maskini na haja ya dharura la kushughulikia mgogoro huu, ikisema: asilimia 10 ya idadi ya watu duniani wanamiliki asilimia 75 ya utajiri wote wa dunia.
-
Namna mfumo wa Ubepari unavyowatumia wanawake kama nyenzo tu
Dec 10, 2025 23:07Mfumo wa Ubepari umekuwa siku zote ukiwatumia wanawake kama nyenzo tu za kuuwezesha kupata faida zaidi.
-
Marekani yachunguza vifo vinavyoshukiwa kuhusishwa na chanjo za virusi vya corona
Dec 10, 2025 06:45Wizara ya Afya na Huduma za Kibinadamu ya Marekani imetangaza kwamba Idara ya Chakula na Dawa (FDA) inafanya uchunguzi wa kina kuhusu vifo vinavyoweza kuhusishwa na chanjo za COVID-19, vinavyohusisha makundi mengi ya umri.
-
Ripoti ya Ujerumani: Waislamu na watu weusi wanasumbuliwa na ubaguzi wa kimfumo
Dec 10, 2025 02:50Ripoti ya Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Ubaguzi la serikali ya Ujerumani imefichua kwamba Waislamu na watu weusi wanaoishi nchini humo wanasumbuliwa na "ubaguzi wa kimfumo" kuhusu hali ya makazi.
-
RSF: Israel ni muuaji mkuu wa waandishi wa habari duniani
Dec 09, 2025 23:11Shirika la Waandishi wa Habari Bila Mipaka (RSF) limesema utawala wa Israel ni muuaji mkuu wa waandishi wa habari duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo, na limeutaka utawala huo uwajibike kwa kusababisha karibu nusu ya vifo vya waandishi wa habari duniani mwaka 2025, hasa katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
Barabara ya Hariri ya Kusini: Iran, Uturuki zarekebisha biashara ya Eurasia
Dec 09, 2025 08:01Mwishoni mwa mwezi uliopita, wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan alipofanya ziara mjini Tehran, Iran na Uturuki zilitangaza makubaliano ya kuanza ujenzi wa njia mpya ya pamoja ya reli kati ya nchi mbili.
-
Zelensky alemewa na mashinikizo ya Marekani ili kukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita vya Ukraine
Dec 09, 2025 07:58Serikali ya Marekani imezidisha mashinikizo kwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ili kukubali kuachia sehemu kubwa ya ardhi ya nchi hiyo na makubaliano mengine yaliyoainishwa katika mpango wa amani wa mwenzake wa Marekani Donald Trump.
-
Utafiti: Zaidi ya watoto milioni 12 kufariki dunia ifikapo 2045
Dec 08, 2025 06:53Utafiti mpya uliotolewa na Taasisi ya Gates Foundation unaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza katika karne hii, idadi ya watoto duniani wanaofariki kabla ya kufikisha umri wa miaka mitano baada ya kuzaliwa inatarajiwa kuongezeka.