-
Iran yalaani azimio la IAEA kuhusu mpango wake wa nyuklia
Nov 21, 2025 04:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali azimio lililopitishwa na Bodi ya Magavana wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), ikilitaja kuwa “batili na lisilo na msingi.”
-
Ubepari wa Magharibi na Kuporomoka kwa Maadili
Nov 20, 2025 23:34Ubepari katika jamii za Magharibi, na msisitizo wake juu ya faida ya mtu binafsi na kutenganisha maadili na uchumi, umesababisha madhara makubwa na matokeo mabaya sana kwa maadili ya binadamu.
-
Marekani kuiuzia Saudia ndege za kivita za F-35 zilizopunguzwa uwezo ili kuilinda Israel
Nov 20, 2025 23:28Maafisa wa Marekani na wataalamu wa ulinzi wanasema ndege za kivita aina ya F-35 ambazo Marekani inapanga kuuzia Saudi Arabia zitapungzwa uwezo kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na ndege kama hizo ambazo ziliuziwa utawala wa Israel, lengo likiwa ni kuhakikisha Israel inasalia kuwa yenye silaha bora za Kimarekani katika eneo la Asia ya Magharibi.
-
WHO: Ukatili dhidi ya wanawake ungali ni janga kubwa la haki za binadamu
Nov 20, 2025 02:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) pamoja na wadau wa Umoja wa Mataifa wametoa ripoti muhimu inayoonyesha kuwa ukatili dhidi ya wanawake ungali ni janga kubwa la haki za binadamu, kwa sababu takwimu za zaidi ya miaka 20 zinaonesha kutokuwepo kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kupunguza ukatili huo.
-
Trump na Meya mteule wa New York, Mamdani kukutana White House Ijumaa
Nov 20, 2025 02:38Rais wa Marekani Donald Trump amesema, atakutana na Meya mteule wa Jiji la New York Zohran Mamdani katika Ikulu ya White House siku ya Ijumaa.
-
Waislamu wahanga wa siasa za chuki katika nchi za Magharibi; uhuru na usawa ni kaulimbiu tu
Nov 19, 2025 09:20Chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza imezidi kuwa mbaya zaidi, huku Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza ikionya kuhusu matokeo ya kuendeleza hali hii.
-
WFP yatahadharisha kuhusu ongezeko la njaa duniani
Nov 19, 2025 03:27Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeeleza kuwa kupunguzwa kwa misaada ya nchi wafadhili kutazidisha mgogoro wa njaa unaozidi kuongezeka kote ulimwenguni, na kuonya kwamba zaidi ya watu milioni 300 watakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula mwaka ujao.
-
Trump asema huenda akaishambulia kijeshi Mexico
Nov 18, 2025 22:53Rais wa Marekani Donald Trump ametaja uwezekano wa kuanzisha mashambulizi ya kijeshi nchini Mexico kwa madai ya eti kukabiliana na magenge ya dawa za kulevya.
-
Chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza: Mgogoro wa kimuundo unaoendelea kwa miaka kumi
Nov 18, 2025 07:53Katika kumbukumbu ya siku ya kuchapishwa ripoti ya "Mazingira ya Chuki", Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) imetangaza kuwa chuki dhidi ya Uislamu nchini humo haijapungua, bali pia imefikia hatua ya kutia wasiwasi zaidi katika mfumo wa kimuundo na kitaasisi; mwelekeo ambao una matokeo mabaya sana ya kijamii na kisiasa.
-
Naibu Katibu Mkuu wa UN: Njaa na migogoro ni tishio kwa usalama wa kimataifa
Nov 18, 2025 04:22Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mohammed, ameonya tena kwamba uhusiano unaozidisha hali mbaya baina ya njaa na migogoro ni "tishio la kimkakati kwa usalama wa kimataifa.