-
Wabunge wa UK wamwandikia barua waziri mkuu kumtaka 'amtimue haraka sana' balozi wa Israel
Aug 15, 2025 03:48Wabunge kadhaa wa Uingereza wametoa wito wa kufukuzwa haraka sana balozi wa utawala wa kizayuni wa Israel nchini humo Tzipi Hotovely na kuchukuliwa hatua za haraka za kukabiliana na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza pamoja na kuuwekea vikwazo vya silaha utawala huo haramu.
-
UEFA yajitoa kimasomaso baada ya kulaumiwa kwa ilivyoakisi mauaji ya 'Pele wa Palestina'
Aug 14, 2025 09:36Hatimaye Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA umeweka hadharani beramu lenye ujumbe "Acheni Kuua Watoto. Acheni Kuua Raia" kwenye uwanja wa soka kabla ya mechi ya Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Tottenham iliyochezwa jana Jumatano mjini Udine, Italia, baada ya kulaumiwa kutokana na namna ulivyoshindwa kuzungumzia kwa uwazi mauaji ya nyota wa Palestina yaliyofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Je, siasa za serikali ya Modi zimewatenga Waislamu wa India?
Aug 14, 2025 04:11Waislamu wa India, ambao ni zaidi ya watu milioni 200, katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto zinazoongezeka katika uwanja wa haki za uraia, usalama wa kijamii na ushiriki wa kisiasa.
-
Uingereza yakabiliwa na umasikini ambao haujawahi kushuhudiwa
Aug 14, 2025 03:11Uingereza inakabiliwa na umaskini mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 60 iliyopita, huku idadi ya kaya zisizo na mahitaji ya msingi ikiongezeka sana.
-
New Zealand: Benjamin Netanyahu amerukwa na akili
Aug 14, 2025 00:08Christopher Luxon Waziri Mkuu wa New Zealand amesema Benjamin Netanyahu anaonekana amerukwa na akili.
-
Umoja wa Ulaya watakiwa kusitisha ushirikiano wake na Israel
Aug 14, 2025 00:08Umoja wa Ulaya umetakiwa usitishe ushirikiano wake na utawala wa kizayuni wa Israel kutokana na jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Wapalestina hususan katika Ukanda wa Gaza.
-
Macron akiri ukandamizaji wa Ufaransa katika makoloni yake
Aug 13, 2025 08:18Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekiri makosa ya nchi yake katika makoloni yake kabla, wakati na baada ya uhuru wa mataifa hayo ikiwemo Cameroon na Senegal.
-
Brazil yatoa wito wa kusitishwa vita mara moja katika Ukanda wa Gaza
Aug 13, 2025 07:29Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesisitizia ulazima wa kufikiwa mara moja usitishaji vita kamili katika Ukanda wa Gaza na kuondolewa kikamilifu kwa vikosi vya Israel vinavyokalia kwa mabavu katika eneo hilo.
-
Amnesty International yataka kukomeshwa mauaji huko Gaza
Aug 12, 2025 23:01Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa kukomesha mauaji katika Ukanda Gaza.
-
Norway: Tuko tayari kutekeleza agizo la ICC la kukamatwa Netanyahu
Aug 12, 2025 23:00Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Norway ametangaza kuwa, iwapo Benjamin Netanyahu Waziri Mkiuu wa Israel ataizuru nchi hiyo, Oslo itatekeleza agizo la kukamatwa lililotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).