Francois Bozize kugombea Urais Jamhuri ya Afrika ya Kati +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i62435-francois_bozize_kugombea_urais_jamhuri_ya_afrika_ya_kati_sauti
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Francois Bozize ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba licha ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa na kutolewa waranti dhidi yake wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jul 26, 2020 12:29 UTC