Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM azindua kampeni za uchaguzi +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i63382-mgombea_urais_zanzibar_kwa_tiketi_ya_ccm_azindua_kampeni_za_uchaguzi_sauti
Chama cha Mapinduzi CCM visiwani Zanzibar kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi tayari kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuufanyika kote Tanzania mwezi ujao wa Oktoba.
(last modified 2026-03-03T12:46:59+00:00 )
Sep 12, 2020 12:34 UTC

Chama cha Mapinduzi CCM visiwani Zanzibar kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi tayari kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuufanyika kote Tanzania mwezi ujao wa Oktoba.