Mashirika ya uchimbaji madini CAR yawekewa vikwazo na Marekani +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i63700-mashirika_ya_uchimbaji_madini_car_yawekewa_vikwazo_na_marekani_sauti
Serikali ya Marekani imeyawekea vikwazo mashirika mawili ya Russia yanayojishughulisha na kazi ya uchimbaji madini katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na kutishia kuwawekea vikwazo pia wataobainika kushirikiana na mashirika hayo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Sep 28, 2020 12:18 UTC