Ukata wa fedha wavikabili vyama vya siasa Uganda +SAUTI
Sep 28, 2020 12:21 UTC
Vyama vya siasa nchini Uganda vinakabiliwa uhaba mkubwa wa fedha za kuendesha shughuli zao ikiwa imebakia miezi michache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.