Uganda yaadhimisha miaka 58 ya uhuru +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i63921-uganda_yaadhimisha_miaka_58_ya_uhuru_sauti
Uganda leo imeadhimisha miaka 58 tangu ilipopata uhuru kutoka kwa mkoloni Muingereza Oktoba 9 mwaka 1962. Uhuru wa Uganda unaadhimishwa huku nchi hiyo ya Afrika Mashariki ikiendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo sera za ukoloni mamboleo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Oct 09, 2020 11:18 UTC

Uganda leo imeadhimisha miaka 58 tangu ilipopata uhuru kutoka kwa mkoloni Muingereza Oktoba 9 mwaka 1962. Uhuru wa Uganda unaadhimishwa huku nchi hiyo ya Afrika Mashariki ikiendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo sera za ukoloni mamboleo.

Kwa maelezo zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail.