-
Ziara ya Di Maio mjini Tehran na sisitizo la Ulaya ya kuamiliana vizuri na Iran
Sep 13, 2023 03:45Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Ghuba ya Uajemi ameonana na Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu hapa mjini Tehran na kutilia mkazo nafasi ya Iran katika kulinda usalama wa eneo hili akisema kuwa, nchi za Ulaya zinalipokea vyema suala la kuamiliana vizuri na Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mpango wa Marekani: Kuanzisha mgogoro nchini Iran
Sep 12, 2023 22:57Baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979 na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran, Marekani ilichukua nafasi ya kiongozi wa kambi ya Magharibi ambayo siku zote imekuwa ikijaribu kuchukua nafasi ya hegemonia (mamlaka ya kutoa amri) katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kupungua umaarufu wa Netanyahu na tishio la kuuawa wajumbe wa Mahakama ya Juu ya Israel
Sep 12, 2023 09:02Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni zaidi wa maoni uliofanywa na vyombo vya habari vya Kizayuni yanaonyesha kuwa, asilimia 75 ya Wazayuni hawaridhishwi na utendaji kazi wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na baraza lake la mawaziri.
-
Kuongezeka mpasuko katika G20
Sep 11, 2023 22:56Wakati Marekani inajaribu kueneza fikra kwamba kundi la G20 ni mojawapo ya mashirika ya kimataifa yenye mpangilio bora zaidi ambako Washington inaweza kutumia ushawishi wake kuongoza shughuli zake, malengo na mipango yake, lakini mkutano wa G20 huko nchini India na upinzani wa China dhidi ya kufanyika mkutano wa 2026 nchini Marekani vinaonyesha kuongezeka kwa tofauti na mpasuko katika G20.
-
Ulimwengu baada ya Septemba 11, 2001
Sep 11, 2023 07:26Miaka 22 imepita tangu baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 katika miji ya New York na Washington, tukio ambalo liliathiri sio Marekani pekee, bali karibu dunia nzima.
-
Kuendelea kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na siasa za kindumakuwili za Magharibi
Sep 10, 2023 22:57Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani amezungumzia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nje ya ubalozi mdogo wa Uturuki mjini New York na kubainisha kwamba, kudharau vitabu vitakatifu ni jambo la kuchukiza.
-
Safari ya rais wa Venezuela nchini China kwa lengo la kuanzisha mfumo mpya wa dunia
Sep 10, 2023 01:10Sambamba na kupanuka uhusiano wa Venezuela na China, Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amewasili China kwa lengo la kuongeza uhusiano wa pande mbili, kuimarisha ushirikiano na kusaidia kuanzisha mfumo mpya wa dunia.
-
Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake
Sep 09, 2023 07:22Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.
-
Maafisa na taasisi za usalama zamuonya Netanyahu kuhusu madhara ya kuongezeka vitendo vya mabavu dhidi ya Wapalestina
Sep 08, 2023 22:49Huku baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu lenye misimamo mikali ya ubaguzi wa rangi likiendelea kutekeleza jinai na ugaidi dhidi ya Wapalestina, maafisa na taasisi za kiusalama za utawala huo ghasibu zimetahadharisha kuhusu matokeo hasi ya suala hilo.
-
Matukio mapya ya kuzingatiwa nchini Yemen
Sep 08, 2023 04:47Safari ya kwanza ya Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi mjini Aden badala ya Sana'a imezua maswali mengi kuhusu malengo hasa ya safari hiyo.