-
Kutolewa dikrii ya kufutiliwa mbali Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Sudan
Sep 07, 2023 23:13Abd al-Fattah al-Barhan, Kamanda wa Jeshi na Mkuu wa Baraza Tawala la Sudan, ametoa dikrii ya kufuiliwa mbali Vikosi vya Msaada wa Haraka kwa mujibu wa kipengee cha katiba ya nchi hiyo.
-
Jumbe za kisiasa za matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husseini (as)
Sep 07, 2023 02:59Jana tarehe 20 Swafar 1445 Hijiria, sawa na tarehe 6 Septemba 2023 Miladia ilisadifiana na Arubaini ya Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) aliyeuawa kinyama na maadui wa Uislamu katika jangwa la Karbalaa, akiwa na familia pamoja na wafuasi wake wachache waaminifu. Vile vile ilikuwa siku ya mwisho ya matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika kuadhimisha Arubaini ya mtukufu huyo (as).
-
Paris yaakiri kushindwa kwa sera zake za kikoloni barani Afrika
Sep 06, 2023 23:07Mapinduzi mtawalia yaliyotokea katika nchi kadhaa za Kiafrika kama Niger na Gabon, ambayo amepongezwa na kupokewa kwa shangwe na wananchi, yamegeuka kuwa harakati kubwa dhidi ya ukoloni mpya na mamboleo wa Ufaransa barani Afrika.
-
Jumbe za kisiasa za matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein
Sep 06, 2023 04:30Kwa miaka kadhaa sasa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali (as) yanafanyika kwa njia mpya na ya kupendeza zaidi kuliko nyakati zote za huko nyuma. Matembezi haya yana jumbe kadhaa za kisiasa.
-
Indhari mtawalia kuhusu njama za Marekani na kuhuisha kundi la Daesh
Sep 05, 2023 23:16Katika siku za hivi karibuni, vyanzo vya habari vya ndani nchini Syria na Iraq vimekuwa vikiripoti mara kwa mara kuhusu njama za Marekani za kufufua kundi la kigaidi la Daesh na makundi mengine ya kitakfiri kwa kuwatorosha wafungwa wa kidaesh na kuanzisha uratibu kati ya makundi mengine ya kitakfiri huko Syria.
-
Kuendelea vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Sep 05, 2023 06:09Katika muendelezo wa siasa za chuki na propaganda chafu dhidi ya Uislamu (islamophobia) katika nchi za Magharibi, polisi ya Sweden imewatia mbaroni watu 15 kwa kujaribu kuzuia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Wasiwasi kuhusu kubadilishwa uongozi barani Afrika kwa nguvu za kijeshi
Sep 05, 2023 01:06Siku chache baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini Gabon, baraza la kijeshi la nchi hiyo limefungua mipaka yote ya nchi kavu, bahari na anga na kutangaza kwamba lina azma ya kudumisha utawala wa sheria, uhusiano mzuri na majirani zake na nchi zote za dunia sambamba na kutimiza wajibu wa kimataifa wa nchi hiyo.
-
Duru mpya ya migawanyiko ya ndani katika utawala haramu wa Israeli
Sep 04, 2023 10:51Baada ya mzozo wa ndani wa utawala wa Kizayuni Israel uliosababishwa na mpango tata wa mabadiko ya sheria za mahakama ambao umependekezwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu, na maandamano makubwa ya kupinga mpango huo, sasa mshtuko mpya ambao haujawahi kutokea umeigubika jamii ya Kizayuni.
-
Ufafanuzi aliotoa Waziri Amir-Abdollahian wa misimamo ya Iran kuhusu masuala ya Lebanon
Sep 04, 2023 00:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian siku ya Ijumaa tarehe mosi Septemba alifanya mkutano na waandishi wa habari mjini Beirut, baada ya kukamilisha ziara yake nchini Lebanon na kufafanua kuhusu mihimili mikuu ya sera za nje za Iran sambamba na kubainisha mtazamo wa Jamhuri ya Kiislamu kuhusu matukio yanayojiri hivi sasa nchini Lebanon.
-
Hatua mpya ya Marekani ya kukoleza moto wa vita: Kuipelekea Ukraine risasi zenye madini ya urani
Sep 03, 2023 05:19Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imeamua kwa mara ya kwanza kuipatia Ukraine risasi zenye madini ya urani hafifu. Risasi hizo ni sehemu ya shehena mpya ya silaha ambayo itatangazwa mnamo siku zijazo.