Uchambuzi
  • Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 02, 2023 07:15

    Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya ya kulaaniwa kukutana na kufanya mazungumzo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo na mwenzake wa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya, Abdel-Hamid al-Dbeibeh, alisisitiza siku ya Alkhamisi juu ya uungaji mkono wa nchi hiyo kwa kwa malengo matukufu ya Palestina na mapambano ya Palestina dhidi ya ya utawala haramu wa Israel.

  • Kujiunga Jumuiya ya ASEAN na juhudi za kutumia sarafu za kieneo badala ya dola

    Kujiunga Jumuiya ya ASEAN na juhudi za kutumia sarafu za kieneo badala ya dola

    Sep 01, 2023 23:13

    Kufuatia kutiwa saini makubaliano ya kifedha kati ya Indonesia, Malaysia na Thailand, sarafu za ndani za nchi hizo sasa zitaanza kutumika katika masoko ya biashara ya Jumuiya ya Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN).

  • Kuendelea kugunduliwa makaburi ya halaiki ya watoto asili wa Canada

    Kuendelea kugunduliwa makaburi ya halaiki ya watoto asili wa Canada

    Sep 01, 2023 04:21

    Katika miaka ya hivi karibuni, kugunduliwa makaburi ya halaiki na miili ya mamia ya watoto wenyeji waliozikwa kwa siri nchini Canada kumefichua mauaji ya kutisha na ubaguzi wa rangi uliofanywa dhidi ya wenyeji wa nchi hiyo, suala ambalo limewashangaza wanaharakati wengi wa kutetea haki za kiraia, viongozi wa kisiasa na wawakilishi wa maoni ya umma ndani na nje ya mipaka ya Canada.

  • Tarehe ya mwisho iliyotolewa na Niger kwa askari wa Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo

    Tarehe ya mwisho iliyotolewa na Niger kwa askari wa Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo

    Aug 31, 2023 23:33

    Baraza la Taifa kwa ajili ya Ulinzi wa Wat'ani, (National Council for the Safeguard of the Homeland, CNSP) ambalo liliundwa hivi majuzi na viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, limeitaka Ufaransa ihakikishe kuwa ifikapo Septemba 3, iwe imeshaondoa vikosi vya jeshi lake vilivyoko nchini humo.

  • Pongezi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa sera za nje zinazotekelezwa na Serikali ya 13

    Pongezi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa sera za nje zinazotekelezwa na Serikali ya 13

    Aug 31, 2023 05:36

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatano alikuwa na mkutano na Rais pamoja na baraza lake la mawaziri, ambapo alipongeza utendaji mzuri na thabiti wa Serikali ya 13 katika baadhi ya sekta zikiwemo "kazi za miundombinu", "ukuaji wa vielezi vya uchumi mkuu" na "sera za kigeni".

  • BRICS na miungano mipya katika ngazi ya mfumo wa kimataifa

    BRICS na miungano mipya katika ngazi ya mfumo wa kimataifa

    Aug 30, 2023 22:58

    Baada ya nchi 6 mpya kujiunga na kundi la BRICS, sasa kundi hili lenye nchi 11 wanachama limeunda kambi mpya katika ngazi ya kimataifa.

  • Nyufa mpya katika uhusiano wa Saudi na Marekani

    Nyufa mpya katika uhusiano wa Saudi na Marekani

    Aug 30, 2023 05:01

    Ahmad Kazemzadeh wa gazeti la Financial Times ameandika, akinukuu vyanzo vya habari, kwamba Saudi Arabia, ambayo haikufurahishwa na masharti yaliyotolewa na Marekani kwa ajili ujenzi wa kinu cha nyuklia nchini humo, inachunguza mapendekezo ya China, Russia na Ufaransa ya kujenga kinu cha nyuklia nchini Saudia.

  • Kupigwa marufuku vazi la Abaya katika shule za umma nchini Ufaransa

    Kupigwa marufuku vazi la Abaya katika shule za umma nchini Ufaransa

    Aug 29, 2023 22:56

    Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za Magharibi zimeonyesha sera za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nyanja mbalimbali za kisiasa na kijamii.

  • Kuchukiwa utawala haramu wa Israel na wananchi wa ulimwengu wa Kiarabu

    Kuchukiwa utawala haramu wa Israel na wananchi wa ulimwengu wa Kiarabu

    Aug 29, 2023 05:37

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Libya, Najla al Mangoush amekimbilia Uturuki baada ya Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya kumsimamisha kazi kwa kosa la kuonana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala wa Kizayuni nchini Italia.