-
Wasiwasi wa UN juu ya kuwepo na kuongezeka harakati za DAESH (ISIS) nchini Afghanistan
Aug 28, 2023 23:14Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeelezea kwamba linatiwa wasiwasi na kuwepo na kuongezeka kwa shughuli za kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.
-
Kitanzi cha mkanganyo kinacholisokota jeshi na serikali ya Israel Ufukwe wa Magharibi
Aug 28, 2023 05:35Muqawama wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan siku hizi ndio uliogonga vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya Kiebrania huku Wazayuni wakihisi wanakabiliwa na hali ya kutisha kutokana na kupanuka kwa muqawama na mapambano dhidi yao katika eneo hilo.
-
Takwa la China kwa Marekani la kusitisha kuiuzia silaha Taiwan
Aug 28, 2023 00:21Licha ya kuwa China imeitaka Marekani mara kadhaa iache kuiuzia silaha na zana za kijeshi Taiwan, lakini Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imetangaza kwa ujeuri kabisa kwamba, itaipatia Taiwan silaha mpya.
-
Kwa mnasaba wa Wiki ya Serikali; mafanikio matatu ya serikali ya awamu ya 13 katika sera za kigeni
Aug 27, 2023 09:11Miaka miwili inapita tangu serikali ya awamu ya 13 ya Iran inayoongozwa na Seyyid Ebrahim Raisi ichukue hatamu za uongozi, na siasa za nje ni moja ya maeneo ambayo mafanikio yake yamekuwa yakionekana na kuhisika waziwazi.
-
Kuendelea mashinikizo ya kieneo dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Niger
Aug 26, 2023 23:11Sambamba na kuendelea kuwa madarakani utawala wa kijeshi nchini Niger, vitisho vya taasisi za kikanda vya kuongeza mashinikizo kwa nchi hiyo hususan watawala wa kijeshi vya kumrejesha madarakani rais aliyepinduliwa Muhammad Bazoum, nayo yameshadidi na kuchukua wigo mpana zaidi.
-
Uanachama rasmi wa Iran katika kundi la BRICS; risala na matokeo
Aug 26, 2023 10:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa rasmi na kuwa mwanachama wa BRICS miezi kadhaa tu baada ya kukubaliwa uanachama pia katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Droni ya "Mohajer 10," fakhari nyingine katika viwanda vya ulinzi vya Iran + Video
Aug 25, 2023 22:47Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea viwanda vya kuzalisha zana za ulinzi na kuangalia kwa karibu mafanikio makubwa iliyopata Jamhuri ya Kiislamu katika uwanja huo. Amefanya ziara hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Viwanda vya Ulinzi vya Iran.
-
Njama za Uingereza za kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake duniani
Aug 25, 2023 04:34Kwa mujibu wa televisheni ya Sky News, serikali ya Uingereza inatumia vizingizio mbalimbali vya kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake katika nchi nyingi duniani vikiwemo visingizio vya kiusalama.
-
Wanachama wa BRICS wakubaliana kuhusu utaratibu wa kupanua kundi hilo
Aug 24, 2023 22:54Dr. Naledi Pandor, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini, ametangaza kuwa nchi wanachama wa BRICS zimeafikiana kuhusu misingi muhimu ya kupanuliwa kundi hilo. Wanachama wa sasa wa BRICS ni Russia, China, Brazil, India na Afrika Kusini.
-
Safari ya Raisi mjini Johannesburg; azma ya Iran ya kujiunga na BRICS
Aug 24, 2023 04:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana Jumatano usiku kabla ya kuondoka mjini Tehran kuelekea Afrika Kusini kwa madhumuni ya kushiriki katika mkutano wa kilele wa Kundi la BRICS kwamba, kundi hilo limeweza kuzileta pamoja nchi huru kwa lengo la ushirikiano wa kiuchumi na kupambana na siasa za upande mmoja.