-
Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 19, 2023 00:21Naibu Spika wa Bunge la Algeria Moussa Kharfi ametamka bayana kuwa nchi yake haitoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Ulazima wa kukiri Uingereza jinsi ilivyohusika katika mapinduzi ya kijeshi ya Mordad 28 (Agosti 19) nchini Iran
Aug 18, 2023 08:45David Owen, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Uingereza kuanzia mwaka 1977 hadi 1979 ameeleza bayana kwamba, kwa sababu ya kulinda heshima yake, Uingereza itapaswa hatimaye ikiri kuwa ilikuwa na nafasi kuu katika mapinduzi ya kijeshi ya Agosti 19, 1953 (Mordad 28, 1332), ambayo yalipelekea kupinduliwa serikali ya waziri mkuu wa Iran wakati huo Mohammad Mosaddegh.
-
Rais Xi kuhudhuria kikao cha China na Afrika, mkutano wa kilele wa BRICS mjini Johannesburg
Aug 18, 2023 08:44Rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano wa 15 wa kilele wa BRICS na pia atakuwa mwenyekiti mwenza wa Mazungumzo ya Viongozi wa China na Afrika nchini Afrika Kusini wiki ijayo.
-
Kushindwa siasa za kibeberu za Marekani nchini Afghanistan
Aug 17, 2023 22:54Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa njama za wavamizi na madola ya kibeberu zitashindwa tu nchini humo.
-
Kuendelea Marekani kulitumia vibaya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Aug 17, 2023 09:37Serkali ya China imepinga ombi la Marekani na baadhi ya waitifaki wake la kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Korea Kaskazini.
-
Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa
Aug 16, 2023 22:59Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ametangaza kuwa nchi yake imefuta mikataba kadhaa iliyokuwa imesaini na serikali ya Ufaransa, ambayo hadi sasa imekuwa na sura ya ukoloni na ya kujali maslahi ya upande mmoja.
-
Uchambuzi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah katika maadhimisho ya mwaka wa 17 ya Vita vya Siku 33
Aug 16, 2023 05:39Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amehutubia kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 17 ya Vita vya Siku 33.
-
Onyo kuhusu ongezeko kubwa la itikadi kali za kisiasa nchini Marekani
Aug 15, 2023 23:20Wakati kesi ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ikiendelea sambamba na kuandaliwa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo wa mwaka 2024, wataalamu wametahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la misimamo mikali ya kisiasa miongoni mwa Wamarekani.
-
Hujuma ya kigaidi; kukaririwa mbinu iliyofeli ya adui
Aug 15, 2023 08:46Takriban miezi 10 baada ya shambulio la kigaidi la mwaka jana kwenye Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mjini Shiraz kusini mwa Iran, magaidi walishambulia tena eneo hilo takatifu siku ya Jumapili, na matokeo yake yakawa ni kuuawa shahid waumini wawili na wengine wanane kujeruhiwa.
-
Kusitisha serikali ya Mali utoaji visa kwa raia wa Ufaransa
Aug 14, 2023 22:56Mvutano kati ya nchi za ukanda wa Sahel ya Afrika na Ufaransa unazidi kuongezeka.