-
Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan
Jul 30, 2023 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeonya kuhusu athari mbaya za ufisadi wa kiserikali nchini Ukraine kutokana na misaada isiyo na mahesabu ya kiuchumi inayomiminiwa nchi hiyo ya Ulaya Mashariki.
-
Msisitizo wa Russia katika kupanua uhusiano wa kina na nchi za Afrika
Jul 29, 2023 23:00Vladimir Putin, Rais wa Rusia, amesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano wa kina na nchi za Kiafrika akisema: Russia itatuma nafaka za bure kwa nchi 6 za Afrika katika miezi michache ijayo.
-
Miripuko katika Haram ya Bibi Zainab SA Syria wakati wa maombolezo ya Imam Husain AS
Jul 29, 2023 06:00Juzi tarehe 27 Julai kulitokea mripuko mwingine wa kigaidi kwenye Haram ya Bibi Zainab SA mjini Damascus Syria ikiwa ni mara ya pili katika kipindi cha saa 48. Waislamu 6 waliuawa shahidi na wengine 23 kujeruhiwa kwenye shambulio hilo la kigaidi.
-
Nchi kufanywa “Mbuzi wa Azazeli”; mkakati wa Marekani katika sera ya kigeni
Jul 28, 2023 23:20Mojawapo ya mikakati ya Marekani katika sera zake za mambo ya nje ni kuzitoa mhanga nchi mbalimbali hasa zile zisizofuata na kwenda sambamba na sera na mitazamo yake.
-
Domino ya kuboresha uhusiano kati ya nchi za Kiarabu - Kiislamu na Iran
Jul 28, 2023 12:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya, Bi Najla Mangoush ameelezea kufurahishwa kwake na safari yake mjini Tehran, baada ya takriban miaka 17 tangu ziara ya mwisho iliyofanywa na afisa wa ngazi za juu wa Libya nchini Iran na kusema: Safari hii inaonyesha nia ya nchi mbili kupanua zaidi uhusiano wao.
-
Nafasi ya utawala wa Kizayuni katika kueneza chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Jul 27, 2023 22:55Tangu kuasisiwa kwake, utawala ghasibu wa Kizayuni sambamba na kupora ardhi za Wapalestina, umefanya jinai zisizohesabika dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, pamoja na kuchochea vita na ukosefu wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Khumsi (moja ya tano) ya uchumi wa dunia yawekewa vikwazo na Marekani
Jul 27, 2023 04:07Licha ya kuwa vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali dfuniani ni mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi na viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza nchi tofauti kufuata siasa zao za ubabe, lakini mbinu hii imekuwa na matokeo hasi kwa Washington katika kipindi cha muda mrefu.
-
Kutiwa nguvuni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran
Jul 26, 2023 04:37Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa imewatia mbaroni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mikoa kadhaa nchini.
-
BRICS, hatua inayofuata ya Iran kujiunga na jumuiya za kieneo
Jul 25, 2023 23:11Mkutano wa marafiki wa Jumuiya ya BRICS ulianza Julai 24 huko Johannesburg, Afrika Kusini, na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ikiwa moja ya nchi zilizoomba uanachama katika jumuiya hiyo, ni mmoja wa wageni muhimu wa mkutano huo.
-
Imarati na Qatar katika mkondo wa kupanua mahusiano
Jul 25, 2023 08:14Amir wa Qatar amemteua Sultan Salmeen Saeed Al-Mansouri kuwa balozi wa mpya wa nchi hiyo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).