-
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya akiri kuhusu mauaji yasiyo na mfano wake dhidi ya Wapalestina
Jun 24, 2023 23:07Sven Kühn von Burgsdorff, mwakilishi wa Umoja wa Ulaya huko Palestina, amesema mauaji ya karibuni dhidi ya Wapalestina yalikuwa hayajawahi kuonekana tangu mwaka 2005 na kuongeza kuwa kile walichokifanya walowezi katika kijiji cha Tarmsaiya ni cha kigaidi.
-
Russia yapinga kushiriki Macron katika mkutano wa BRICS
Jun 24, 2023 07:13Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov alitangaza Alhamisi iliyopita kwamba Moscow haidhani kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ataruhusiwa kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS nchini Afrika Kusini, kwa sababu Paris inatekeleza sera ya chuki dhidi ya Moscow.
-
Nchi za Ulaya zabadili mtazamo kuhusu kundi la kigaidi la Munafikina
Jun 23, 2023 23:00Nchi za Ulaya ambazo zimekuwa mwenyeji wa makundi ya kigaidi na ya uasi dhidi ya Iran tangu mwanzoni mwa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hivi karibuni zimechukua hatua zinazoashiria kuwepo mabadiliko katika mtazamo wao kuhusu makundi hayo.
-
Jeshi na utawala wa Kizayuni zashtushwa na operesheni za kushtukiza za vijana wa kipalestina
Jun 23, 2023 04:47Duru za habari ziliripoti Jumatano asubuhi kwamba, wanamapambano wa Palestina walifanya operesheni 70 dhidi ya Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika muda wa saa 24.
-
Chokochoko mpya zilizoanzishwa na Biden kuhusiana na China
Jun 22, 2023 22:57Rais Joe Biden wa Marekani siku ya Jumanne wiki hii alimfananisha mwenzake wa China, Xi Jinping na madikteta.
-
Ushirikiano wa kifedha baina ya Russia na Venezuela, sarafu ya dola ya Marekani yazidi kuwekwa kando
Jun 22, 2023 05:52Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, amepongeza hatua ya nchi hiyo kujiunga na mfumo wa malipo wa Russia "Mir" akiutaja utaratibu huu kuwa ni katika mkondo wa kuibuka kwa mtandao mpya na mbadala wa kifedha duniani wa kukabiliana na vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Venezuela.
-
Ombi la Ujerumani kwa Uchina kuhusu vita vya Ukraine
Jun 21, 2023 23:02Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, ameiomba China kutumia ushawishi wake kwa Russia kusaidia jitihada za kukomesha vita nchini Ukraine.
-
Kudhalilishwa jeshi la Israel huko Jenin, ukurasa mpya katika kitabu cha mapambano ya Palestina
Jun 21, 2023 08:06Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel majuzi walilazimika kutumia jeshi la anga kushambulia kwa mabomu wanaharakati wa Kipalestina katika mji wa Jenin ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 20 iliyopita.
-
Mwito wa Russia wa uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Jun 20, 2023 23:11Ujumbe wa Russia umetoa mwito wa kuendelea kukusanywa taarifa na uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan. Mwito huo umetolewa katika kikao cha 53 cha Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa,
-
Takwa la Rais wa Ufaransa kwa Ulaya la kujiepusha na utegemezi wa kijeshi kwa Marekani
Jun 20, 2023 08:33Jumatatu ya jana tarehe 19 Juni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alizitaka nchi za Ulaya kutafuta uhuru zaidi katika ulinzi wa anga zao na kuacha kuwa tegemezi kupita kiasi kwa Marekani.