-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Madai ya uhuru wa maoni katika mrengo wa demokrasia ya kiliberali
Jul 15, 2023 03:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei, siku ya Jumatano, katika kikao na hadhara ya wanazuoni, wanafunzi na wahubiri wa vyuo vya kidini katika kukaribia mwezi mtukufu wa Muharram, aliitaja demokrasia ya kiliberali kuwa mrengo ulio dhidi ya mfumo wa Kiislamu, unaotoa madai ya uwongo kuhusu fikra huria na demokrasia.
-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lapitishia azimio la kulaani uchomaji wa Qur'ani
Jul 14, 2023 23:16Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano liliidhinisha azimio lililopendekezwa na nchi za Kiislamu la kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kutaka uchunguzi ufanyike kuhusu jambo hilo pamoja na Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu kutakiwa kutoa ripoti kuhusu suala hilo.
-
Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika
Jul 13, 2023 22:44Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.
-
Safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uganda
Jul 13, 2023 07:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano jioni aliwasili Kampala katika safari rasmi ya siku mbili nchini Uganda ikiwa ni katika duru pili ya safari yake ya kikanda katika bara la Afrika. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda.
-
Kubadilika msimamo wa Uturuki kuhusu uanachama wa Sweden katika muungano wa Nato
Jul 12, 2023 22:46Baada ya mivutano mikubwa ya kisiasa kuhusu suala la kujiunga Sweden na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO), na upinzani wa Uturuki dhiidi ya suala hilo, hatimaye Rais Reccep Tayyep Erdogan amekubali Sweden kuwa mwanachama ndani ya NATO.
-
Kenya, kituo cha kwanza cha safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika
Jul 12, 2023 07:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo Jumatano amewasili Nairobi mji mkuu wa Kenya akiongoza ujumbe wa ngazi za juu, akiwa katika ziara ya kuzitembelea nchi tatu za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Kukiri Marekani kwamba hakuna mpango wa nyuklia wa kijeshi unaoendeshwa ndani ya Iran
Jul 11, 2023 23:04Licha ya madai ya mara kwa mara ya nchi za Magharibi hususan Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba Iran inafanya juhudi za kujipatia silaha za nyuklia, taasisi kuu ya intelijensia ya Marekani imeikiri kuwa Iran haijihusishi na uundaji wa silaha za nyuklia.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN ya kufikia Sudan kwenye ukingo wa vita kamili vya wenyewe kwa wenyewe
Jul 11, 2023 08:00Mapigano nchini Sudan yanaendelea kupamba moto, na juhudi zilizofanywa hadi sasa za kuleta suluhu na kurejesha amani na utulivu katika nchi hiyo sio tu hazijafanikiwa, lakini pande mbili zinazopigana zimeshadidisha pia mashambulizi yao. Kutokana na hali hiyo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuwa, Sudan sasa imeshafika kwenye ukingo wa vita kamili vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Safari ya kwanza ya Rais wa Iran barani Afrika baada ya miaka 11
Jul 10, 2023 22:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumanne ya leo ameondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake
Jul 10, 2023 09:30Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.