-
Vigezo vya maslahi ya nchi katika sera ya kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 21, 2023 07:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza juu ya kujiepusha na diplomasia ya kuomba omba na pia ulazima wa maingiliano ya busara na yanayozingatia maslahi ya zama sambamba na kudumisha misingi ya mfumo wa Kiislamu.
-
Muungano wa kimataifa wa ndege za kivita: Hatua mpya ya kuchochea vita nchini Ukraine
May 20, 2023 21:58Marekani imepiga hatua mpya katika kupanua wigo wa vita nchini Ukraine. Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Jake Sullivan ametangaza kuwa Rais Joe Biden Ijumaa aliwafahamisha viongozi wa Kundi la G7 kwamba ameafiki kutoa mafunzo ya kuendesha ndege za kivita za F-16 kwa marubani wa Ukraine.
-
Kuendelea mgogoro huko Sudan kwa kuuzuliwa Hamidti katika Baraza la Uongozi wa Mpito
May 20, 2023 08:01Mgogoro wa kisiasa na vita vingali vinaendelea huko Sudan licha ya kufanyika mazungumzo na jitihada za upatanishi nchini humo. Katika hatua ya karibuni, Jenerali Abdel Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito la Sudan ametoa amri ya kumuuzulu Mohamed Hamdan Dagalo (Hamidti) katika nafasi ya Naibu Mkuu wa baraza hilo.
-
Watu milioni 4.5 wapoteza maisha kutokana na ubabe wa kivita wa Marekani tangu 2001
May 19, 2023 22:44Taasisi moja ya wasomi ya Marekani imetangaza baada ya kufanya utafiti wa kina na wa muda mrefu kwamba mamilioni ya watu katika maeneo ya Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na Afrika Kaskazini wamepoteza maisha tangu 2001 kutokana na uchochezi wa kivita wa Marekani.
-
Maandaano ya bendera na uwezekano wa kutokea vita vingine Palestina
May 19, 2023 03:56Kwa mujibu wa kalenda ya Kiibrania, maandamano ya Siku ya Bendera yalifanyika jana Mei 18, maandamano ambayo ni nembo ya ubaguzi wa rangi wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya taifa la Palestina na jamii nyinginezo kwa ujumla.
-
Kujiuzulu Mullah Mohammad Hassan Akhund Mkuu wa serikali ya Taliban ya Afghanistan, na kuteuliwa mrithi wake
May 18, 2023 22:06Duru za Afghanistan zimetangaza kuwa Mullah Mohammad Hassan Akhund aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya Taliban nchini humo amejiuzulu wadhifa huo na tayari mrithi wake ameteuliwa.
-
Umuhimu wa kisiasa wa ibada ya Hija katika maneno ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
May 18, 2023 05:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei asubuhi ya jana Jumatano (tarehe 17 Mei) alieleza baadhi ya vipengee umuhimu vya kisiasa vya ibada ya Hija katika kikao chake na maafisa, wasimamizi na baadhi ya Wairani waliojiandikisha kushiriki ibada ya Hija mwaka huu.
-
Upembuzi wa sababu za kuingia katika duru ya pili uchaguzi wa rais wa Uturuki
May 17, 2023 21:47Kama ilivyokuwa imetabiriwa na duru huru za kisiasa, uchaguzi wa rais wa Uturuki umeingia kwenye duru ya pili na chama tawala cha Uadilifu na Maendeleo (AKP) na muungano wake wa Jamhuri zimeshindwa kupata wingi wa kura zilizohitaji ili kuibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Nakba ya Palestina iliyogeuzwa kuwa Nakba ya Israel!
May 17, 2023 04:30Licha ya mashinikizo na kampeni kubwa iliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na Marekani ya kuzishawishi nchi mbalimbali, wanachama wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu waliadhimisha kwa mara ya kwanza kumbukumbu ya mwaka wa 75 wa maangamizi ya kizazi cha wananchi madhulumu wa Palestina katika tukio la Siku ya Nakba.
-
Dalili za kufifia kundi la G7 katika uchumi wa dunia
May 17, 2023 03:47Mkutano wa mawaziri wa fedha na wakuu wa benki kuu za kundi la G7 la nchi zilizoendelea kiviwanda ulifanyika Niigata, Japan; na kama ilivyokuwa katika mikutano mingine ya nchi za Magharibi na washirika wao, mkutano huo pia umeathiriwa na maswala ya kisiasa na usalama, ikiwa ni pamoja na vita vya Ukraine, suala la nyuklia la Korea Kaskazini, na hatimaye Uchina.