-
Tangazo la Sinan Oghan la kumuunga mkono Erdoğan na majibu ya Kılıçdaroğlu
May 24, 2023 21:56Kama duru za kisiasa zilivyokuwa zikisema, hatimaye Sinan Oghan, mgombea aliyeshindwa katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa Uturuki, ametangaza rasmi nia yake ya kumuunga mkono mgombea wa 'Muungano wa Jumhuri', Recep Tayyip Erdoğan, katika awamu ya pili ya uchaguzi.
-
Umuhimu wa ziara ya rais wa Iran nchini Indonesia
May 24, 2023 06:14Rais Seyed Ebrahim Raisi, wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jumatatu alitembelea Indonesia, kwa mwaliko rasmi wa rais mwenzake wa Indonesia, Joko Widodo.
-
Hasira ya watu wa Japan dhidi ya Biden na maandamano dhidi ya mkutano wa G7 huko Hiroshima
May 23, 2023 23:58Mkutano wa viongozi wa nchi saba wanachama wa nchi zilizoendelea kiviwanda huko Hiroshima, Japan, umetoa fursa muhimu kwa wananchi wa nchi hiyo, hasa wakazi wa Hiroshima, kutoa malalamiko yao na kuwakosoa vikali watawala wa kibepari, hasa Rais Joe Biden wa Marekani.
-
Umuhimu wa kimkakati wa safari ya karibuni ya kundi la 86 la Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
May 23, 2023 02:57Kundi la 86 la Wanamaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran liirejea nchini karibuni kwa mafanikio makubwa baada ya kuzunguka dunia baharini kwa muda wa miezi 8.
-
Kulalamikia vikali Waislamu Kanada sheria mpya ya marufuku ya kusali shuleni
May 22, 2023 22:52Waislamu nchini Kanada wamelalamikia vikali marufuku ya kusali iliyowekwa katika shule za serikali kwenye jimbo la Quebec.
-
Safari ya Rais Ebrahim Raisi Jakarta; fursa ya kuimarisha mashirikiano ya Iran na Indonesia
May 22, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameelekea Jakarta, mji mkuu wa Indonesia akijibu mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Joko Widodo al-maarufu Jokowi.
-
Mkutano wa Jeddah; Uwepo wa Syria na sisitizo la haja ya kutatua changamoto za ndani za nchi za Kiarabu
May 21, 2023 23:16Mkutano wa 32 wa wakuu wa nchi za Kiarabu ulifanyika Mei 19 ukiwa umeandaliwa na Saudi Arabia mjini Jeddah, huku taarifa ya mwisho ya mkutano huo ikikaribisha kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na kuimarishwa ushirikiano kati ya nchi hizo sambamba na haja ya kutatuliwa changamoto za ndani za nchi hizo.
-
Vigezo vya maslahi ya nchi katika sera ya kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 21, 2023 07:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza juu ya kujiepusha na diplomasia ya kuomba omba na pia ulazima wa maingiliano ya busara na yanayozingatia maslahi ya zama sambamba na kudumisha misingi ya mfumo wa Kiislamu.
-
Muungano wa kimataifa wa ndege za kivita: Hatua mpya ya kuchochea vita nchini Ukraine
May 20, 2023 21:58Marekani imepiga hatua mpya katika kupanua wigo wa vita nchini Ukraine. Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Jake Sullivan ametangaza kuwa Rais Joe Biden Ijumaa aliwafahamisha viongozi wa Kundi la G7 kwamba ameafiki kutoa mafunzo ya kuendesha ndege za kivita za F-16 kwa marubani wa Ukraine.
-
Kuendelea mgogoro huko Sudan kwa kuuzuliwa Hamidti katika Baraza la Uongozi wa Mpito
May 20, 2023 08:01Mgogoro wa kisiasa na vita vingali vinaendelea huko Sudan licha ya kufanyika mazungumzo na jitihada za upatanishi nchini humo. Katika hatua ya karibuni, Jenerali Abdel Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito la Sudan ametoa amri ya kumuuzulu Mohamed Hamdan Dagalo (Hamidti) katika nafasi ya Naibu Mkuu wa baraza hilo.