-
Mageuzi ya Bin Salman huko Saudi Arabia ni ya uongo na bandia
Oct 31, 2022 08:12"Rima bint Bandar Al Saud", balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani, alitangaza karibuni katika mahojiano na CNN, kwamba mageuzi ya Saudi Arabia ni ya kweli na kwamba ufalme huo umechukua hatua katika miaka mitano iliyopita ambayo ilikuwa haijafanyika katika miaka 80 iliyopita
-
Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina
Oct 31, 2022 00:46Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao mara mbili asubuhi na jioni kujadili matukio mapya yanayojiri Palestina.
-
Kushamiri kuwepo kijeshi Wazayuni kusini mwa Yemen; njama iliyoandaliwa na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE)
Oct 30, 2022 06:12Wakati hali ya mchafukoge wa kisiasa kusini mwa Yemen ikiwa imefikia kiwango cha juu huku serikali tegemezi na kibaraka iliyoko huko ikiwa haina mamlaka yoyote ya uendeshaji wa mambo yake, katika njama iliyoratibiwa na Muungano wa Falme za Kiarabu Imarati, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshamirisha kuwepo kwake kijeshi katika eneo hilo la kusini mwa Yemen.
-
Kushindwa kwa mradi wa Marekani wa "kuangamiza Iran"
Oct 29, 2022 23:02Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Wizara ya Intelijensia ya Iran na Shirika la Upelelezi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imeweka wazi nafasi ya Marekani katika machafuko ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani
Oct 29, 2022 07:45Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.
-
Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine
Oct 28, 2022 22:54Russia imepeleka malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuwepo kwa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Vasily Nebenzia, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, amethibitisha kwamba nchi yake imekusanya ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa maabara ya silaha hizo za kibiolojia za Marekani huko Ukraine.
-
Shambulio la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh; mfano mwingine wa mradi wa kuvuruga usalama wa Iran
Oct 28, 2022 04:28Ikiwa ni katika kuendeleza mradi wa maadui wa kuvuruga usalama na kuibua machafuko nchini Iran, siku ya Jumatano idadi kubwa ya wafanyaziara katika Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (as) huko katika mji wa Shiraz waliuawa shahidi na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotekelezwa katika haram hiyo.
-
Sisitizo la Iran la kutotumiwa droni zake katika vita vya Ukraine na kuwa tayari kuchunguza madai ya nchi hiyo
Oct 27, 2022 08:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, Tehran iko tayari kuchunguza madai ya serikali ya Ukraine kuhusu kutumiwa na Russia ndege zisizo na rubani za Iran katika vita vya Ukraine.
-
Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina
Oct 27, 2022 05:53Katika kuendeleza harakati zao za chuki dhidi ya Wapalestina, askari wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiuzingira kwa muda sasa mji wa Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa mji huo.
-
Mkutano wa OANA mjini Tehran; fursa ya kuvunja ukiritimba wa vyombo vya habari vya Magharibi
Oct 26, 2022 03:07Mkutano Mkuu wa 18 wa Jumuiya ya Mashirika ya Habari ya Asia-Pasifiki (OANA) umefanyika hapa mjini Tehran tangu Jumatatu iliyopita.