-
Takwa la Umoja wa Afrika kwa Wamagharibi la kuamiliana kwa heshima na mataifa masikini
Oct 25, 2022 23:01Kupamba moto vita vya Russia na Ukraine na kusambaa mgogoro wa kiuchumi katika akthari ya mataifa ya dunia, kumezifanya nchi za Kiafrika zitengwe na kutupwa mkono zaidi.
-
Maandamano ya kupinga siasa za Marekani nchini Ethiopia
Oct 25, 2022 06:27Sambamba na kushtadi mapigano nchini Ethiopia na kuvunjwa makubalianao ya usitishaji vita ya miezi mitano na kuwaka tena moto wa vita katika nchi hiyo, maelfu ya Waethiopia walifanya maandamano ya nchi nzima siku ya Jumamosi kulaani uingiliaji wa madola ya kigeni, hasa Marekani, katika masuala ya ndani ya nchi yao.
-
Maandamano ya Ulaya dhidi ya kuzorota hali ya kiuchumi
Oct 24, 2022 23:06Kufuatia kuenea mgogoro wa kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wameandamana katika nchi kama vile Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Romania kulalamikia hali mbaya ya maisha.
-
Kubakia Xi Jinping kama mkuu wa chama tawala cha China
Oct 24, 2022 07:50Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kimemchagua Xi Jinping kuendelea kuwa katibu wake mkuu kwa muhula wa tatu katika kikao kilichomalizika Jumamosi na hivyo kumuidhinisha kuendelea kuwa rais wa China.
-
Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Italia, mabadiliko katika siasa za ndani na nje
Oct 24, 2022 00:30Giorgia Meloni amepewa rasmi jukumu la uwaziri mkuu wa Italia kutoka chama chenye misimamo mikali ya kulia cha Brothers of Italy. Hayo yamekuja baada ya kufanyika mazungumzo ya pande kadhaa na hatimaye Rais wa Italia amempa jukumu Meloni la kuunda serikali mpya akiwa ni Waziri Mkuu wa kwanza kabisa mwanamke katika historia ya Italia.
-
Kushambuliwa bandari ya al Dabah, onyo la Wayemen kwa wezi na waporaji wa mafuta
Oct 23, 2022 04:37Ijumaa ya tarehe 21 Oktoba 2022, jeshi la Yemen lilitumia droni zake kushambulia bandari ya al Dabah huko Hadhramaut likiwa ni pigo jipya kwa wavamizi na onyo kwa madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia ambayo yanaendelea kupora utajiri wa nchi hiyo maskini zaidi ya Kiarabu.
-
Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran
Oct 22, 2022 23:05Katika barua yake kwa Umoja wa Mataifa, Troika ya Umoja wa Ulaya inayojumuisha Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imekariri madai ambayo hayajathibitishwa kwamba Russia inatumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine, na imeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza iwapo huo ni ukiukaji ya Azimio 2231 la Baraza la Usalama au la
-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani
Oct 22, 2022 07:41Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.
-
Kufichuliwa kashfa ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni nchini Malaysia
Oct 21, 2022 23:10Waziri wa Mambo ya Ndani wa Malaysia, Hamzah bin Zainudin, ametangaza kuwa nchi hiyo imeanza uchunguzi kuhusu nafasi ya shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) katika kutekwa nyara Mpalestina huko Kuala Lumpur.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi
Oct 21, 2022 07:14Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.