-
2022, mwaka wa mauaji zaidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Oct 20, 2022 22:55Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita.
-
Mustakbali unaong'aa wa Iran katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Oct 20, 2022 07:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo ya miongo minne ya karibuni nchini Iran ni kielelezo cha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dunia mkabala wa uchambuzi wa watu wenye fikra na mielekeo ya Kimagharibi.
-
Ushindi wa chama cha Imran Khan na kufufuka matumaini yake ya kurudi tena madarakani Pakistan
Oct 19, 2022 21:14Ushindi wa Tehreek-e-Insaf ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani nchini Pakistan katika awamu ya pili ya uchaguzi wa kabla ya muhula wa uchaguzi mkuu umempa matumaini makubwa Imran Khan na chama chake hicho ya kurudi tena madarakani.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani
Oct 19, 2022 09:38Katika mwendelezo wa uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, Umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ulitangaza vikwazo kadhaa dhidi ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran, Polisi ya Usalama wa Maadili, Jeshi la Polisi na kitengo cha kupambana na hujuma za intaneti cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.
-
Kukosoa Maulamaa wa India hatua za serikali dhidi ya Waislamu
Oct 18, 2022 22:43Jumuiya ya maulamaa wa Kiislamu wa India imewataka viongozi wa nchi hiyo katika jimbo la Utta Pradesh kukomesha kile ilichokiita "hatua ya upande mmoja" dhidi ya jamiii ya Waislamu.
-
Mchango wa vyombo vya habari vya maadui katika fujo; onyo la Brigedia Jenerali Salami dhidi ya Saudi Arabia
Oct 18, 2022 07:00Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) ameashiria uafiriti na uchochezi wa vyombo vya habari vyenye mfungamano na utawala vamizi wa Saudi Arabia na kuuonya utawala huo kwa kusema: Jichungeni na kuweni makini na mienendo yenu na vidhibitini vyombo vyenu vya habari.
-
Sisitizo la Rais wa China la kupinga mabavu na hatua za kupenda kujitanua
Oct 17, 2022 22:40Rais wa China amesisitiza katika hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Chama tawala cha Kikomonisti cha nchi hiyo kwamba nchi yake kamwe haina lengo la kutekeleza hatua za kibeberu na kupenda kujitanua kimataifa.
-
Kwa nini Marekani imejikita sana katika kuunga mkono ghasia nchini Iran
Oct 17, 2022 07:45Karine Jean-Pierre Msemaji wa White House ameashiria namna Marekani ilivyojikika pakubwa katika machafuko na ghasia hapa nchini na kueleza kuwa: hata kama serikali ya Biden inaamini kuwa diplomasia ni njia bora zaidi ya kuizuia Iran kumiliki silaha za nyuklia lakini sasa Washington imejikita katika kuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.
-
Afrika mhanga wa matokeo na taathira ya migogoro ya kimataifa
Oct 17, 2022 02:18Akthari ya mataifa ya Afrika ambayo katika miongo ya hivi karibuni yalifanya hima kubwa ya kujenga miundomsingi yao ya kiuchumi kwa minajili ya kuboresha hali ya uchumi wao, filihali yanahesabiwa kuwa wahanga wakubwa zaidi wa matukio ya sasa ulimwenguni.
-
Sababu za kushtadi ukatili na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 16, 2022 06:45Tangu Jumamosi ya tarehe 8 Oktoba, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha tena ukatili na ukandamizaji dhidi ya Wapalestina.