-
Iraq katika mchakato wa kuvuka mkwamo wa kisiasa wa mwaka mmoja
Oct 15, 2022 23:00Hatimaye bunge la Iraq limemchagua rais mpya wa nchi hiyo Abdul Latif Rashid ambapo rais huyo pia katika hatua yake ya awali amemteua Mohammed Shia al-Sudani kuwa Waziri Mkuu na kumpatia jukumu la kuunda serikali.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kuwepo umoja wa Umma wa Kiislamu
Oct 15, 2022 04:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amehutubia hadhara ya viongozi wa serikali na wageni wanaoshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, ambapo ameutaja umoja na mshikamano kuwa ni hitajio muhimu zaidi la Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kuwa na nafasi muhimu na ya juu katika muundo mpya wa dunia ya leo.
-
Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran
Oct 15, 2022 00:10Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, amekiri kwamba utawala wa Joe Biden sasa umejikita kwenye machafuko na ghasia nchini Iran huku akiiishutumu Tehran kuwa haiko tayari kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mbali na kukiri huko, imekuwa ikifahamika wazi kimataifa kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Kikao cha CICA chamalizika kwa kutiwa saini hati sita za ushirikiano
Oct 14, 2022 05:23Wakuu wa nchi wanachama wa Kongamano Kuhusu Maingiliano na Hatua za Kujenga Hali ya Kuaminiana Barani Asia (CICA) wamemalizika mkutano wao huko Astana katika mji mkuu wa Kazakhstan kwa kuidhinisha hati 6 za ushirikiano.
-
Kukosoa asasi za haki za binadamu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Oct 13, 2022 23:04Asasi moja ya haki za binadamu imetoa ripoti ya kutisha inayoeleza hali mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia na matukio kadhaa ya vitendo vya mateso ya kimwili na kiroho dhidi ya wanaharakati na wapinzani wakiwemo wale waliohukumiwa kunyongwa.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui
Oct 13, 2022 08:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba, njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.
-
Kukiri Borrell kwamba Ulaya inahitajia mno nishati ya bei nafuu ya Russia
Oct 12, 2022 23:02Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amekiri kuwa bara hilo linahitajia mno nishati ya bei rahisi ya Russia na kwamba uchumi wa bara hilo utakumbwa na matatizo mengi iwapo hakutapatikana vyanzo vingine rahisi vya nishati.
-
Uingereza na kuendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iran
Oct 12, 2022 05:26Balozi wa Uingereza nchini Iran ameitwa kwa mara ya tatu kwenda kusailiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu na hiyo ni katika kipindi cha wiki tatu tu zilizopita. Hii ni kutokana na Uingereza kujitia kwenye uraibu wa kuiwekea vikwazo vya kiholela Iran. Tehran inasema, ina haki ya kulipiza kisasi siasa hizo za kiibeberu za London.
-
Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Israel; muendelezo wa mpango mchafu wa Magharibi wa chuki dhidi ya Uislamu
Oct 11, 2022 23:06Katika muendelezo wa mpango wa chuki dhidi ya Uislamu, mara hii walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu huko katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa nchini Algeria
Oct 11, 2022 07:46Jumapili ya juzi tarehe 9 Oktoba, Waziri Mkuu wa Ufaransa aliwasili katika mji mkuu wa Algeria Algiers akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake kwa ajili ya safari rasmi ya siku tatu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.