-
Nchi za Magharibi zashindwa kuitenga Russia
Oct 10, 2022 21:50Kufuatia kuzorota hali ya uchumi na usalama barani Ulaya, tofauti za mitazamo kuhusu sera za nje na usalama wa bara Ulaya zimeongezeka, hasa kuhusiana na suala la Russia. Huku viongozi wa Ulaya wakizungumzia siasa za kuitenga Russia, baadhi ya wanasiasa wa bara hilo wanaonya dhidi ya kukatwa kabisa uhusiano na nchi hiyo.
-
Kuongezeka hitilafu kati ya Marekani na Saudi Arabia
Oct 10, 2022 05:48Kundi la wabunge wa chama cha Democratic cha Marekani wametaka kuondolewa wanajeshi wa nchi hiyo kutoka Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, kwa jina jingine Imarati, kufuatia uamuzi wa kundi la OPEC-Plus kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku.
-
Mashambulizi dhidi ya ofisi za kidiplomasia za Iran huko Ulaya; haja ya serikali mwenyeji kutekeleza Mkataba wa Vienna
Oct 09, 2022 23:15Katika siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa mashambulio dhidi ya maeneo na ofisi za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Ulaya, jambo ambalo limekabiliwa na jibu kali la serikali ya Tehran iliyowaita mabalozi wa baadhi ya nchi za Ulaya mjini Tehran kwa ajili ya kuwasaili.
-
Tangazo la Rais wa Tunisia la marekebisho ya sheria ya uchaguzi
Oct 09, 2022 06:52Ofisi ya Rais wa Tunisia imetangaza katika taarifa yake kwamba Rais Kais Saied, ameamua kurekebisha sheria ya uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo.
-
Sera mpya za Marekani Afghanistan
Oct 08, 2022 22:50Karen Decker Kaimu Balozi wa Marekani nchini Afghanistan amesema kuwa ni jambo lililo mbali kwa nchi yake kurejea tena kijeshi huko Afghanistan.
-
Maadhimisho ya mwaka wa 35 tangu kuasisiwa harakati ya Jihad Islami ya Palestina; kuwa imara katika njia ya muqawama
Oct 08, 2022 07:21Sherehe za maadhimisho ya mwaka wa 35 tangu kuasisiwa harakati ya Jihad Islami ya Palestina zimefanyika huko Ghaza, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Lebanon na Syria.
-
Mkakati erevu wa serikali ya Sana'a baada ya kumalizika usitishaji vita; kulenga sekta ya nishati
Oct 07, 2022 22:50Kufuatia kushindwa mapatano ya kurefusha usitishaji vita nchini Yemen, msemaji wa jeshi la nchi hiyo ameonya kuwa usalama wa uwekezaji katika nchi mbili za Saudi Arabia na Imarati uko hatarini.
-
Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya
Oct 07, 2022 07:27Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya.
-
Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"
Oct 06, 2022 23:06Liz Truss ambaye ni karibu mwezi mmoja tu nyuma ameanza kazi ya uwaziri mkuu wa Uingereza, amejitokeza hadharani na kutangaza kuwa yeye ni Zayuni "la kutupwa" yaani Mzayuni mkubwa sana na amesema atahakikisha uhusiano wa London na Wazayuni utaimarika mno wakati wa uongozi wake.
-
Kung'ang'ania Biden kuiwekea vikwazo vipya Tehran, dhihirisho la uadui kwa wananchi wa Iran
Oct 06, 2022 05:47Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumatatu ya tarehe 3 Oktoba 2022, alijitokeza hadharani bila ya haya na kuunga mkono machafuko na kuuliwa maafisa usalama na wananchi wa Iran katika vurugu za hivi karibuni.