-
Sababu na matokeo ya kushindwa kwa usitishaji vita nchini Yemen
Oct 05, 2022 22:55Mazungumzo ya kurefusha usitishaji vita kwa mara ya tatu nchini Yemen yameshindwa kufikia mwafaka.
-
Mauaji ya Hazara wa Afghanistan na sera za kindumakuwili za nchi Magharibi
Oct 05, 2022 03:42Idadi kubwa ya wanawake na wasichana wa Afghanistan wamefanya maandamano katika eneo la Dashte Barchi magharibi mwa Kabul, wakidai haki zao na kukomeshwa kwa mashambulizi ya kigaidi dhidi ya kaumu ya Hazara.
-
Kampeni za mabinti wa Kiislamu Ufaransa za kupigania vazi la hijabu mashuleni
Oct 04, 2022 22:42Licha ya kuweko aina kwa aina ya sheria na mibinyo ya kuzuia vazi la hijabu kwa mabinti na wanawake wa Kiislamu nchini Ufaransa, lakini wasichana wanaovaa hijabu katika nchi hiyo ya bara Ulaya wanatafuta njia za kutatuliwa tatizo hilo wakitumia mbinu nas mikakati mbalimbali.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya kuratibiwa kutoka nje fujo na ghasia za Iran
Oct 04, 2022 06:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa hotuba muhimu katika hafla ya pamoja ya wanachuo wahitimu wa Vyuo Vikuu vya vikosi vya ulinzi hapa Iran kuhusiana na fujo na ghasi za hivi karibuni hapa nchini zilizoibuka kwa kisingizio cha kifo cha Mahsa Amini.
-
Lebanon na Israel zakaribia kufikia makubaliano ya kuweka mipaka ya baharini
Oct 04, 2022 02:49Taarifa zinaonyesha kuwa rasimu ya mwisho iliyopokelewa kutoka upande wa Marekani kuhusu kuainisha mipaka ya bahari ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel itapelekea kupunguzwa tofauti kati ya pande hizo mbili.
-
Ujerumani yachochea vita dhidi ya Yemen kwa kuiuzia Saudia silaha
Oct 03, 2022 05:49Takriban wiki moja baada ya ziara ya Kansela wa Ujerumani Olaf Schultz nchini Saudi Arabia, Berlin kwa mara nyingine tena imeanza kuiuzia Saudia Arabia silaha na zana za kivita.
-
Kujiunga na Russia majimbo manne ya Ukraine, nembo nyingine ya kufeli Magharibi
Oct 02, 2022 23:01Siku ya Ijumaa ya tarehe 30 Septemba 2022, Rais Vladimir Putin wa Russia alitia saini hati ya kujiunga na Russia majimbo manne ya Ukraine katika sherehe zilizohudhuriwa na wakuu wa majimbo hayo.
-
Matokeo ya kustaajabisha ya uchaguzi wa Bunge la Kuwait, wafungwa watoka jela waingia Bungeni
Oct 02, 2022 04:43Matokeo ya uchaguzi wa Bunge la Kuwait yamewashangaza wengi. Wapinzani wamepata viti vingi, nafasi ya Waislamu wa madhehebu ya Kishia nayo imeimarika kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea na wafungwa wawili wametoka jela na kuingia bungeni.
-
Mashambulizi ya IRGC dhidi ya ngome za magaidi huko Kurdistan Iraq
Oct 01, 2022 22:43Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza duru mpya ya mashambulizi dhidi ya ngome na maficho ya magaidi kufuatia kuongezeka hujuma na harakati dhidi ya Iran za magaidi waliopo katika eneo la Kurdistan huko Iraq.
-
Mshikamano wa kitaifa, hitajio la kimkakati la leo la Iran
Oct 01, 2022 08:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kile jamii inachohitajia sana hivi sasa ni umoja na mshikamano wa kitaifa kwa sababu maadui wanaulenga mshikamo wake wa kitaifa."