-
Vigezo vya nyuso mbili vya nchi za Ulaya katika suala la wakimbizi
May 18, 2022 21:42Huku mgogoro wa kiuchumi na kisiasa ukiendelea katika baadhi ya nchi za Asia na huku vita baina ya Ukraine na Russia navyo vikiendelea, wimbi la wakimbizi katika mipaka ya nchi za Ulaya nalo limeongezeka.
-
Njama za Magharibi za kuanzisha NATO ya dunia nzima
May 18, 2022 04:58Katika hali ambayo suala la uwanachama wa nchi mbalimbali hasa Ukraine katika Jeshi la Nchi za Magharibi NATO limeitumbukiza dunia kwenye mgogoro wa kimataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameona kama hiyo haitoshi na hivi sasa amezungumzia wajibu wa kuweko mkataba wa NATO ya dunia nzima.
-
Kushindwa Umoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia
May 17, 2022 22:34Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kikao cha mawaziri wa umoja huo mjini Brussels Ubelgiji kwamba, hakuna uwezekano wa kufikiwa makubaliano kuhusiana na kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya Russia.
-
Kufichuliwa jinai za Ufaransa baada ya kugunduliwa makaburi ya umati nchini Mali
May 17, 2022 04:38Kugunduliwa makaburi ya umati jirani na kambi ya jeshi ya Ufaransa nchini Mali kumezidi kuweka wazi siku baada ya siku ukubwa wa jinai za Wafaransa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wimbi la nchi nzima la chuki ndani ya Marekani; chimbuko na matokeo yake
May 16, 2022 21:56Baada ya mauaji ya kutisha yaliyofanywa na kijana wa Kizungu kwa sababu ya chuki za ubaguzi wa rangi katika duka kuu la mji wa Buffalo jimboni New York, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amesema: "Katika siku hizi, Marekani inashuhudia ueneaji wa chuki nchi nzima."
-
Miaka 74 baada ya Siku ya Nakba
May 16, 2022 06:23Miaka 74 iliyopita, utawala haramu na bandia wa Kizayuni wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya jinai kadhaa za kinyama dhidi ya Wapalestina.
-
Hali ya madaraka katika Umoja wa Falme za Kiarabu baada ya kuaga dunia Sheikh Khalifa bin Zayed
May 15, 2022 21:51Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al Nahyan Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) na mtawala wa Abu Dhabi alifariki dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 73 na sasa Baraza Kuu la Imarati limemteua Sheikh Mohamed bin Zayed bin Sultan Al Nahyan kuwa rais mpya wa nchi hiyo.
-
Iran yalaani ukiukwaji mpya wa haki za binadamu uliogundulika Marekani
May 15, 2022 06:31Kazem Gharibabadi, Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa taarifa baada ya uchunguzi kubaini vifo vya zaidi ya watoto 500 wa jamii za asili za Marekani katika shule za bweni za kanisa, zilizofadhiliwa na serikali na kusema: "Pamoja na kuwepo ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu huko Marekani nchi hiyo inajipa jukumu la kuwapa wengine nasaha kuhusu haki za binadamu."
-
Mitetemeko ya baada ya mauaji ya kigaidi ya Shireen Abu Akleh
May 14, 2022 21:49Ushahidi wote unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua kwa makusudi mwandishi wa habari wa kike na Mkristo wa televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar Shireen Abu Akleh kwa mujibu mpango maalumu uliokuwe umeratibiwa tangu hapo awali.
-
Kuadhibiwa utawala wa Kizayuni; takwa la mashirika na jumuiya za haki za binadamu zipatazo 250
May 14, 2022 06:54Mashirika na jumuiya za haki za binadamu zipatazo 250 zimetoa taarifa ya pamoja zikitaka utawala wa kigaidi wa Israel uadhibiwe kisheria kutokana na hatua yake ya kumuua kigaidi ripota wa televisheni ya al-Jazeera ya nchini Qatar.