-
Je, vita vya Iran vilisambaratisha vipi ngano ya nguvu isiyoshindwa ya Marekani?
Jun 18, 2026 08:22"Vita na Iran vimefichua ukweli mchungu kwa Marekani; Trump alifanya makosa makubwa na hatari kwa kuanzisha vita hivi na hatimaye kutoka kwenye vita akiwa dhaifu kijeshi, kidiplomasia na kiuchumi."
-
Marekani ilishindwa vipi katika vita dhidi ya Iran?
Jun 16, 2026 06:29Siku mia moja na sita baada ya kuanza hujuma za kijeshi za Marekani na Wazayuni dhidi ya Iran, hatimaye Tehran na Washington zimefikia muafaka katika mfumo wa makubaliano ya kuhitimisha rasmi vita hivyo.
-
Trump afedheheka kwa kusherehekea kurejea katika hali ya kabla ya vita na Iran
Jun 15, 2026 13:56Wataalamu wengi wa masuala ya siasa wametathmini utangulizi wa mapatano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Jamhuri ya Kislamu ya Iran na kuyataja kuwa fedheha kubwa kwa utawala wa Marekani unaoongozwa na Rais Donald Trump.
-
Vita na Iran vimefichua vipi mwanzo wa kudhoofika nguvu ya kimkakati ya Marekani?
Jun 14, 2026 12:02Vita wakati mwingine huweka wazi washindi wake wa kweli na walioshindwa sio kwenye uwanja wa vita, bali katika vyumba vya kifikra na vituo vya kimkakati.
-
Kwa nini Trump anaendelea kukariri mkakati ulioshindwa mara nyingi huko nyuma?
Jun 13, 2026 10:59Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amekiuka makubaliano legevu ya kusitisha mapigano kati ya nchi hiyo na Iran kwa kushambulia upya maeneo kadhaa ndani ya ardhi ya Iran, ikiwa ni pamoja na miundombinu ya kiraia, hii ikiwa ni siku chache tu baada ya kudai kuwa makubaliano na Iran yalikuwa yanakaribia.
-
Ulaya na vikwazo vipya dhidi ya Iran; Kutetea ubaharia au muendelezo wa mashinikizo ya kisiasa?
Jun 11, 2026 10:44Akizungumzia vikwazo vilivyowekwa karibuni na Umoja wa Ulaya dhidi ya baadhi ya shakhsia na taasisi za Iran, Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Sheria na Masuala ya Kimataifa amesema: 'Iran haiipi thamani yoyote hatua hiyo ya kimaonyesho ya Ulaya.'
-
Je, siasa zinapoingizwa michezoni, FIFA bado huwa ndiyo inayochukua maamuzi?
Jun 11, 2026 10:38Kombe la Dunia la mchezo wa kandanda, ambalo waasisi wake wamekuwa wakidai kuheshimu maadili na thamani za kimataifa pamoja na kutenganishwa siasa na mchezo huo, sasa limekuwa mateka wa siasa za mabavu na ubaguzi wa serikali ya Marekani, ambapo hata Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) lenyewe limeshindwa kutetea na kuwalinda maafisa wake mbele ya siasa hizo.
-
Kwa nini watawala wa Marekani wanajaribu kujitenga na chokochoko za Netanyahu?
Jun 10, 2026 12:22Kushirikiana kwa utawala wa Trump na vitendo vya jinai na uchokozi vya Israel katika kipindi cha miaka miwili iliyopita kumekuwa na taathira mbaya kwa msimamo wa serikali ya sasa ya Marekani mbele ya maoni ya umma ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Bab al-Mandab, mstari mpya wa kuzuia hujuma na kuimarisha uwiano wa "Umoja wa Medani"
Jun 08, 2026 12:10Msemaji wa Jeshi la Yemen ametangaza kwamba kuanzia sasa jeshi hilo limeanza kutekeleza amri ya kupiga marufuku kikamilifu meli zote za utawala haramu wa Israel kupita katika maji ya Bahari ya Shamu au kwa Kiingereza Red Sea na kwamba kuanzia wakati wa kutangazwa marufuku hiyo na kuendelea urambazaji wa baharini wa Israel katika Bahari Nyekundu utakuwa shabaha halali ya jeshi la wanajeshi wa Yemen.
-
Jibu kali la makombora la Iran kwa ukiukaji wa mara kwa mara wa usitishaji vita na jinai za Israel nchini Lebanon
Jun 08, 2026 08:03Iikiwa ni katika kunufaika na haki yake ya kujilinda na kujibu ukiukaji wa mara kwa mara wa usitishaji vita na jinai za kinyama zinazofanywa na utawala dhalimu wa Israel dhidi ya watu wa Lebanon, vikosi vya jeshi la Iran Jumapili usiku vilitoa jibu kali la makombora katika maeneo ya utawala huo katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu. Maeneo yaliyolengwa katika shambulio hilo kubwa la makombora kimsingi ni ya kijeshi na kistratijia ya utawala wa Israel.