-
Kwa nini washirika wa Washington sasa wana wasiwasi kuhusu uwepo wa kambi za Marekani katika ardhi zao?
Jun 07, 2026 11:10Kwa mujibu wa jarida la Foreign Affairs la nchini Marekani, vita na Iran vinaweza kutoa changamoto kubwa kwa jeshi la Marekani na hasa kuhusu hatari ya kushambuliwa kambi zake za kijeshi katika siku zijazo.
-
Kwa nini Ulaya inataka kufafanua upya uhusiano wake na China?
Jun 06, 2026 12:48Ufaransa na nchi nyingine nne za Ulaya, katika mkesha wa mkutano wa kimkakati wa Kamisheni ya Ulaya kuhusu China, zilitoa wito wa kuundwa vyombo vipya vya kutetea biashara ili kulinda viwanda vya Ulaya na kukabiliana na ushindani kutoka kwa makampuni yanayoungwa mkono na serikali ya Beijing.
-
Je, Israel inafuatilia malengo gani katika kuzidisha vita nchini Lebanon?
Jun 03, 2026 12:13Utawala wa Kizayuni unaendelea kushambulia Lebanon ambapo katika siku za hivi karibuni ulikuwa umetishia kuushambulia mtaa wa Dhahiyah kusini mwa Beirut na kutaka watu wahame kutoka eneo hilo. Swali muhimu ni je, kwa nini utawala wa Kizayuni unataka kushadidisha mgogoro na vita nchini Lebanon?
-
Hormuz, vita na ukweli ambao Washington haikuwa na budi ila kuukubali
Jun 03, 2026 07:08Katika hali ambayo sera ya "mashinikizo ya juu zaidi" na chaguo la kijeshi la Trump vilipaswa kuilazimisha Iran ilegeze msimamo na kurudi nyuma, lakini matukio ya karibuni yameonyesha kuwa Washington inatafuta njia ya kujiondoa kwa heshima katika mgogoro ambao imejianzishia yenyewe.
-
Lengo la Marekani kutokana na siasa zake zenye mgongano katika eneo la Asia-Pasifiki
Jun 02, 2026 10:04Waziri wa Vita wa Marekani amesema katika mkutano wa Shangri-La huko Singapore kwamba Washington inatarajia washirika wake wa Asia waongeze matumizi yao ya kijeshi na ulinzi hadi asilimia 3.5 ya Pato lao la Taifa.
-
Je, ni vipi Ulaya imekuwa mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni?
Jun 01, 2026 09:59Jürgen Todenhofer, mwanasiasa na mjumbe wa zamani wa bunge la Ujerumani, amesema: "Umoja wa Ulaya na serikali ya Ujerumani zinahusika moja kwa moja katika maangamizi makubwa ya watu wa Palestina."
-
Kwa nini Trump anatapatapa kati ya vitisho na makubaliano?
May 31, 2026 13:18CNN imesema katika ripoti kwamba: "Serikali ya Marekani huchanganyikiwa linapokuja suala la nyuklia la Iran." Katika kipindi cha wiki kadhaa zilizopita, Rais Donald Trump wa Marekani amebadilisha misimamo yake mara kadhaa kuhusu hatima ya hifadhi ya urani iliyorutubishwa ya Iran.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unasisitiza kuendeleza vita huko Lebanon?
May 30, 2026 07:00Moja ya vikwazo muhimu katika mazungumzo ya Iran na Marekani ni sisitizo la utawala wa Kizayuni wa Israel la kuondolewa medani ya vita vya Lebanon kwenye mazungumzo hayo na kuendeleza vita dhidi ya harakati ya Hizbullah. Hii ni katika hali ambayo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa moja ya masharti muhimu ya kufikiwa mapatano na Marekani ni kusimamishwa kikamilifu vita katika ngome zote za mhimili wa muqawama na hasa nchini Lebanon.
-
Kwa nini makubaliano yoyote na Iran ni fedheha kwa Trump?
May 29, 2026 12:41Kadiri uwezekano wa kufikiwa makubaliano kati ya Marekani na Iran unavyoongezeka, waandishi wa habari na wachambuzi mashuhuri wa Marekani wanatoa maoni yao kwa uwazi zaidi kuhusu kushindwa Trump na Netanyahu kutimiza matakwa yao katika mashambulio ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Kuanzia "Kujisalimisha Bila Masharti" hadi Kukubali Nguvu ya Iran; Kurudi Nyuma kwa Trump Chini ya Mashinikizo ya Ukweli wa Mambo
May 28, 2026 09:45Kushindwa Trump na Netanyahu katika kufikia malengo yao ya kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi tisa, ni moja ya mada muhimu zinazojadiliwa na taasisi za utafiti, wananadharia mashuhuri na vyombo tajika vya habari.