Uchambuzi
  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu- Siku ya Arafa

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu- Siku ya Arafa

    May 26, 2026 13:32

    Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuwadia msimu wa Hijja ya Nabii Ibrahim (as), Ayatullah Seyyed Mojtaba Hosseini Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametaja amali na thikri zilizajaa maana za Hijja na kusema ni ishara za kudumu milele kwa wanadamu kwa ajili ya kuwahamasisha waelekee kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kuwa huru kutokana na minyororo ya Shetani na wafuasi wake, na wakati huo huo kufanya bidii bila kuchoka kwa ajili ya kuondokana na matamanio ya nafsi, na kufikia sa

  • Nabih Berri: Kwa pamoja tutaikomboa na kuijenga upya Lebanon

    Nabih Berri: Kwa pamoja tutaikomboa na kuijenga upya Lebanon

    May 25, 2026 14:22

    Katika siku ya kumbukumbu ya kukombolewa Lebanon kutoka kwenye makucha ya utawala ghasibu wa Israel, Nabih Berri, Spika wa Bunge la nchi hiyo amesema kuwa, adui Mzayuni hatasita hata kidogo kulipiza kisasi dhidi ya Lebanon na kuongeza kwamba kwa pamoja watu wa nchi hiyo wana uwezo wa kuikomboa na kuijenga upya.

  • Sababu za kuongezeka mgawanyiko barani Ulaya kuhusu utawala wa Kizayuni

    Sababu za kuongezeka mgawanyiko barani Ulaya kuhusu utawala wa Kizayuni

    May 24, 2026 06:54

    Mbali na maoni ya wananchi, baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya pia wameutaka Umoja wa Ulaya uchukue hatua kali dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na viongozi wake.

  • Sababu ya kujiuzulu Mkurugenzi wa Intelijensia ya Kitaifa wa Marekani

    Sababu ya kujiuzulu Mkurugenzi wa Intelijensia ya Kitaifa wa Marekani

    May 23, 2026 13:14

    Kuibuka kwa baadhi ya tofauti kati ya Rais wa Marekani na mkuu wa jumuiya ya ujasusi ya nchi hiyo kumezua shaka kuwa kujiuzulu kwa Tulsi Gabbard kulitokana na sababu za kisiasa.

  • Viwango vya Undumakuwili wa Ulaya; Kwa Nini Jinai za Israel Zinanyamaziwa Kimya?

    Viwango vya Undumakuwili wa Ulaya; Kwa Nini Jinai za Israel Zinanyamaziwa Kimya?

    May 22, 2026 15:20

    Hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukamata meli 50 zilizokuwa zimebeba wanaharakati 428 wa haki za binadamu na misaada ya kibinadamu kutoka nchi 44 kwa ajili ya Wapalestina wanaozingirwa na utawala huo huko Gaza katika bahari ya Mediterania imeibua wimbi la hasira na chuki dhidi ya Wazayuni.

  • Ujumbe wa safari ya Rais Putin nchini China kwa ulimwengu

    Ujumbe wa safari ya Rais Putin nchini China kwa ulimwengu

    May 21, 2026 13:34

    Siku nne tu baada ya kufanyika safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini China, Rais Xi Jinping wa nchi hiyo amemkaribisha kwa shangwe Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Beijing.

  • Kulegeza kamba mara kwa mara Trump, ishara ya kuemewa mbele ya Iran

    Kulegeza kamba mara kwa mara Trump, ishara ya kuemewa mbele ya Iran

    May 20, 2026 03:01

    Pars Today - Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mara ya kumi na moja katika kipindi cha wiki chache tu, amerudia tena majigambo yake ya kuishambulia Iran lakini baadaye anatafuta kisingizio cha kuakhirisha kushambulia.

  • Israel ilianzisha vipi vituo vya kijeshi nchini Iraq na madhara yake ni yapi?

    Israel ilianzisha vipi vituo vya kijeshi nchini Iraq na madhara yake ni yapi?

    May 18, 2026 16:13

    Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti yake kwamba, Israel imeanzisha vituo viwili vya kijeshi vya siri ndani ya ardhi ya Iraq kwa ajili ya kusaidia operesheni zake dhidi ya Iran.

  • Kumalizika enzi za kutekeleza kwa lazima amri za kimabavu za madola ya Magharibi

    Kumalizika enzi za kutekeleza kwa lazima amri za kimabavu za madola ya Magharibi

    May 17, 2026 02:03

    Pars Today - Majid Nili Ahmadabadi, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ujerumani amejibu kauli za kansela wa nchi hiyo alizotoa baada ya mazungumzo ya simu na rais wa Marekani Donald Trump, akisema kwa maandishi kwamba: "Enzi ya kutekeleza kwa lazima amri za kimabavu na za upande mmoja za madola ya Magharibi, zimekwisha.