Uchambuzi
  • Kukaribia mwisho wa kisiasa wa Starmer na kuzidi kupata nguvu Iran

    Kukaribia mwisho wa kisiasa wa Starmer na kuzidi kupata nguvu Iran

    May 13, 2026 18:54

    Pars Today - Magazeti ya Uingereza yameripoti kwa wingi habari inayosisitiza kuwa, kusambaratika kisiasa Waziri mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer kumekaribia.

  • Israel na Somaliland: Njama ya kudhibiti Bab al Mandeb

    Israel na Somaliland: Njama ya kudhibiti Bab al Mandeb

    Apr 23, 2026 09:59

    Tarehe 26 Desemba, 2025, Israel ililitambua eneo lililotangaza kujitenga na Somalia la Somaliland kama taifa huru; licha ya kwamba, katika upeo wa kimataifa, eneo hilo inaendelea kutambuliwa kuwa sehemu ya Somalia.

  • Je, wimbi la kuuzuliwa makamanda wakuu jeshini nchini Marekani linaweza kuwa ushindi mwingine wa kistratijia kwa Iran?

    Je, wimbi la kuuzuliwa makamanda wakuu jeshini nchini Marekani linaweza kuwa ushindi mwingine wa kistratijia kwa Iran?

    Apr 06, 2026 07:52

    Wimbi la kutimuliwa makamanda wa ngazi za juu katika jeshi la Marekani kufuatia kushindwa kimkakati kwa nchi hiyo dhidi ya Iran limeibua mgogoro mkubwa zaidi wa kamandi katika Wizara ya Vita ya nchi hiyo, Pentagon.

  • Wenzo wa nguvu wa maeneo ya kijografia na kistratijia

    Wenzo wa nguvu wa maeneo ya kijografia na kistratijia

    Apr 04, 2026 12:57

    Ni jambo la kawaida kwamba nchi zilizoko katika maeneo tofauti ya kijografia na kistratijia hutumia nafasi hiyo kwa manufaa ya watu wake na kulinda maslahi yao ya kitaifa. Wachambuzi wa mambo wanasema hilo ni jambo linakubalika kimataifa na wala hakuna sheria yoyote inayopinga suala hilo ambayo ni haki ya kimsingi ya nchi iliyo katika maeneo kama hayo.

  • Yemen yaingia rasmi vitani kwa maslahi ya Iran

    Yemen yaingia rasmi vitani kwa maslahi ya Iran

    Apr 02, 2026 06:43

    Yemen imetangaza rasmi kuingia katika vita kwa maslahi ya Iran, na sasa kila mtu ana wasiwasi kuhusu muelekeo wa vita hivi huku Wamagharibi na waungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel wakiingiwa na wasi wasi mkubwa kwamba huenda uchumi wa utawala huo ukabanwa na kupata madhara makubwa iwapo jeshi la Yemen litaamua kufunga na kudhibiti njia muhimu ya usafiri wa meli za biashara na mizigo, yaani Lango-Bahari la Bab al-Mandab.

  • Mapambano ya Watu wa Iran dhidi ya Madhalimu

    Mapambano ya Watu wa Iran dhidi ya Madhalimu

    Mar 31, 2026 04:51

    Swali muhimu zaidi ambalo limekuwa likiwashughulisha wachambuzi wengi na hata watumiaji wa mitandao ya kijamii siku hizi ni kuwa: "Je, Wairani wameweza vipi kusimama imara mbele ya nguvu mbili zenye silaha za nyuklia bila kuogopa wala kusalimu amri?"

  • Kwa nini jiografia inaipa Iran nafasi nzuri katika Lango-Bahari la Hormuz?

    Kwa nini jiografia inaipa Iran nafasi nzuri katika Lango-Bahari la Hormuz?

    Mar 29, 2026 08:56

    Lango Bahari la Hormuz takriban limefungwa kwa wiki nne sasa na hivyo kupelekea soko la mafuta duniani kutumbukia katika mgogoro mkubwa wa nishati na wala haijulikani litafunguliwa lini.

  • Vita vya kichokozi vya Israel na Marekani dhidi ya Iran na msimamo hasi wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Vita vya kichokozi vya Israel na Marekani dhidi ya Iran na msimamo hasi wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Mar 28, 2026 08:16

    Asubuhi ya Jumamosi, Februari 28, 2026, Israel na Marekani zilianza rasmi kuishambulia Iran kwa pamoja ambapo mwanzoni kabisa mwa shambulio hilo, zilimuua shahidi Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mauaji hayo ya kigaidi yalitekelezwa huku mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Iran na Marekani yakiendelea.

  • Kujiuzulu kwa Joe Kent kunasema mengi

    Kujiuzulu kwa Joe Kent kunasema mengi

    Mar 27, 2026 11:08

    Katika chapisho la mtandao wa kijamii siku ya Jumanne tarehe 17 Machi, Joe Kent alitangaza kwamba amejiuzulu kama Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi cha Marekani kwa lengo la kupinga uamuzi wa utawala wa Donald Trump wa kujiunga na Israel katika vita dhidi ya Iran.