-
Kujiuzulu kwa Joe Kent kunasema mengi
Mar 27, 2026 11:08Katika chapisho la mtandao wa kijamii siku ya Jumanne tarehe 17 Machi, Joe Kent alitangaza kwamba amejiuzulu kama Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi cha Marekani kwa lengo la kupinga uamuzi wa utawala wa Donald Trump wa kujiunga na Israel katika vita dhidi ya Iran.
-
Duru za uchumi: Mgogoro wa vita vya Iran umelishtua bara Ulaya
Mar 26, 2026 04:37Duru za kiuchumi za kimataifa zinasema mgogoro uliojitokeza kutokana na uchokozi na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umelishtua na kuliacha bara la Ulaya katika hali ya sintofahamu.
-
Taarifa ya Ayatullah Hajj Sheikh Muhammad Jawad Fadhil Lankarani, Kuhusu Hatua Isiyofaa ya Al-Azhar
Mar 23, 2026 04:44Katika kujibu hatua ya hivi karibuni ya viongozi wa Al-Azhar, Chuo Kikuu cha Kidini cha nchini Misri ya kulaani hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya vituo vya kijeshi vya Marekani katika ardhi za nchi za Kiarabu za Ghuba ya Ujemi, viongozi tofauti wa kidini akiwemo Ayatullah Sheikh Muhammad Jawad Fadhil Lankarani, wametoa taarifa wakikosoa vikali hatua hiyo ya kibaguzi ya wanazuoni wa Al- Azhar.
-
Mwisho wa makubaliano ya Atlantiki; kwa nini Marekani imetengwa katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Iran?
Mar 22, 2026 07:30Duru ya pili ya hujuma za kijeshi za Marekani na utawala wa Kizayuni imekuwa nukta muhimu katika historia ya mikataba na makubaliano ya kijeshi katika ulimwengu wa Magharibi.
-
Mauaji ya kigaidi ya Marekani na Israel dhidi ya viongozi wa Iran na mmomonyoko wa sheria za kimataifa
Mar 21, 2026 07:04Mauaji ya kigaidi dhidi ya Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran mnamo Machi 17, 2026, siku 18 tu baada ya mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Seyyed Ali Khamenei, ni zaidi ya suala la kuongezeka tu mashambulizi ya kijeshi. Yanaangazia wazi upuuzaji wa sheria za kimataifa zilizobuniwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia 1945.
-
Dunia ya Siku Zijazo
Mar 19, 2026 09:10Hebu, jaribu kufumba macho yako na faradhisha kuwa unaishi katika mwaka wa 2050. Kwa mtazamo wako dunia itakuwaje wakati huo? Mgawanyo wa nguvu umebadilika vipi?
-
Mfumo Mpya wa Dunia
Mar 17, 2026 08:48Je, hadi sasa umewahi kufikiria mfumo huu unaotawala dunia ulitoka wapi?
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu Mpya wa Iran
Mar 13, 2026 12:44Ayatullah Sayyid Mojtaba Husseini Khamenei, Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wake wa kwanza kulihutubia taifa la Iran.
-
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?
Mar 09, 2026 09:02Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wimbi jipya la upinzani dhidi ya vita nchini Marekani; dalili ya kudhoofika zaidi Trump
Feb 28, 2026 02:11Kadiri matamshi ya kivita yanavyozidi kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, pamoja na baadhi ya maafisa wa utawala wake, wimbi jipya la upinzani dhidi ya uwezekano wa a vita vya kichochezi vya Marekani dhidi ya Iran limeanza kushika kasi.