-
Vita vya kupambana na rushwa vinaendelea nchini Rwanda + Sauti
Dec 10, 2020 13:15Serikali ya Rwanda imesema kuwa, utashi wa serikali na mikakati inayoendelea kuwekwa, ndivyo vitakavyokuwa suluhisho la kutokomeza ulaji rushwa nchini humo. Licha ya Rwanda kutajwa na mashirika ya kimataifa kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kwenye mapambano ya ulaji rushwa lakini bado nchi hiyo inasema juhudi kali za kuikabili rushwa zitaendelea. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi…
-
Wamarekani wenye asili ya Afrika wapatao 100 waiomba serikali ya Rwanda idhini ya kuishi nchini humo + SAUTI
Dec 08, 2020 13:02Wamarekani wenye asili wapatao 100 wameiomba serikali ya Rwanda idhini ya kuishi nchini humo
-
Maalim Seif Sharif Hamad aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) + SAUTI
Dec 08, 2020 12:51Maalim Seif Sharif Hamad ameapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar (SUK)
-
Serikali ya Uganda ina safari ndefu ya kupambana na ufisadi +SAUTI
Dec 04, 2020 13:54Serikali ya Uganda imejitahidi kufutilia mbali ufisadi na ulaghai lakini safri bado ni ndefu sana.
-
Mahakama ya Katiba CAR yamuondoa Bozize na wenzake katika kinyang'iro cha urais +SAUTI
Dec 04, 2020 13:48Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika Kati imeondoa majina 16 ya wagombea wa kiti cha Urais likiwemo la rais wa zamani wan chi hito Francosi Bozize.
-
Mbunge: Baadhi ya wakaguzi wa IAEA nchini Iran walikuwa wakiifanyia ujasusi CIA
Dec 01, 2020 23:01Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Iran amesema idadi kubwa ya wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA waliokuwako hapa nchini walikuwa majasusi na walilipatia Shirika la Ujasusi la Marekani CIA taarifa za wanasayansi wa Iran.
-
Mahakama ya Katiba CAR: Marufuku wabeba silaha kushiriki uchaguzi wa Bunge+SAUTI
Nov 28, 2020 13:39Mahakama ya Katiba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza uamuzi wake kuhusu majina ya watu wanaotaka kuwania viti vya bunge katika uchaguzi ujao wa bunge wa Disemba 27 mwaka huu, uchaguzi ambao utafanyika sambamba na ule wa urais.
-
Baadhi ya wananchi wa Rwanda wa maeneo hatarishi wahamishwa na kupatiwa nyumba za kisasa +SAUTI
Nov 26, 2020 13:38Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi waliokuwa hapo awali wamekataa kuhamishwa kutoka maeneo hatarishi kwenda kwenye sehemu ambayo serikali ya nchi hiyo inawajengea nyumba za kisasa.
-
Vyombo vya dola vya Uganda vyamuachia huru Bobi Wine; waliouawa katika ghasia wapindukia 60+SAUTI
Nov 20, 2020 10:57Kiongozi wa chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP) ambaye pia na mgombea urais nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kwa jina la Bobi Wine ameachiwa huru kwa dhamana na mahakama moja ya nchi hiyo. Hii ni baada ya kushtadi maandamano ya ghasia yaliyopelekea makumi ya watu kuuawa kufuatia kukamatwa kwa mwanasiasa huyo chipukizi.
-
Rais wa Zanzibar atangaza Baraza la Mawaziri, atenga wizara 2 kwa ajili ya ACT
Nov 19, 2020 11:51Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi, ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali yake huku akiacha kutangaza majina ya mawaziri katika wizara mbili kwa ajili ya chama cha ACT-Wazalendo.