-
Zoezi la kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Rwanda kutoka DRC laanza +SAUTI
Nov 18, 2020 13:40Serikali ya Rwanda imeanza zoezi la kuzihamishia familia 1800 ambazo kwa takribani mwaka mzima ziliishi kwenye kambi ya muda magharibi mwa Rwanda baada ya kurejea kutoka misitu ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-
Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda aonana na wagombea kutuliza mambo + SAUTI
Nov 16, 2020 12:08Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uganda amekutana na wagombea urais wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Januari 2021 nchini humo, ili kutatua migogoro iliyojitokeza wakati huu wa kampeni za uchaguzi. Maelezo zaidi na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi, Ismail.
-
Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa + SAUTI
Nov 14, 2020 13:48Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 baada ya kukabiliwa na changamoto kali za kuukabili ugonjwa huo unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa.
-
Wagombea 13 wamejiandikisha kushiriki uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati utakaofanyika Desemba 27 + SAUTI
Nov 12, 2020 04:22Wagombea 13 wa kiti cha urais wamejiandikisha kushiriki uchaguzi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wa Desemba 27
-
Wanadiplomasia 6 wa Libya akiwemo aliyeteuliwa kuwa balozi CAR wawekwa kizuizini na kutimuliwa nchini humo + SAUTI
Oct 31, 2020 05:08Jamhuri ya Afrika ya Kati yawakamata na kuwaweka kizuizini kisha kuwatimua wanadiplomasia 6 wa Libya, akiwemo aliyeteuliwa kuwa balozi nchini humo
-
Licha ya changamoto za corona kwa maisha ya watu, sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda + SAUTI
Oct 31, 2020 04:58Sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda licha ya hali ngumu inayowakabili wananchi kutokana na janga la Covid-19
-
Matukio ya Kiislamu: Waislamu Tanzania waadhimisha Maulidi ya Mtume SAW +SAUTI
Oct 30, 2020 12:31Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amehutubia Baraza la Maulidi na kuwataka Waislamu kudumisha upendo na ushirikiano ili kumuenzi Bwana Mtume SAW.
-
Ripoti ya matukio ya Kiislamu juma hili nchini Tanzania + SAUTI
Oct 16, 2020 12:46Viongozi wa dini Tanzania wakemewa na Baraza la Maulamaa la BAKWATA kwa kujihusisha na kuwapigia kampeni wagombea wa vyama vya siasa katika uchaguzi mkuu
-
Rais Touadéra wa CAR apokea shehena ya silaha nzitonzito za kijeshi kutoka Russia + SAUTI
Oct 16, 2020 12:39Rais Faustin-Archange Touadéra wa Jamhuri ya Afrika ya Kati apokea shehena ya vifaru vya kivita na silaha zingine nzitonzito za kijeshi kutoka Russia licha ya nchi yake kuwekewa vikwazo vya silaha na Umoja wa Mataifa.
-
Rais wa Uganda atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake + SAUTI
Oct 12, 2020 12:25Rais Yoweri Museveni wa Uganda Atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara kubwa ya lami ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini, licha ya Uganda yenyewe kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi hivi sasa.