-
Uganda yaadhimisha miaka 58 ya uhuru +SAUTI
Oct 09, 2020 11:18Uganda leo imeadhimisha miaka 58 tangu ilipopata uhuru kutoka kwa mkoloni Muingereza Oktoba 9 mwaka 1962. Uhuru wa Uganda unaadhimishwa huku nchi hiyo ya Afrika Mashariki ikiendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo sera za ukoloni mamboleo.
-
Jengo la biashara la Michenzani Mall Zanzibar lazinduliwa na Rais Shein +SAUTI
Oct 05, 2020 14:40Rais wa Zanzibar Ali Muhammad Shein amesema kuwa serikali imejenga jengo la biashara la Michenzani Mall ili kuwawezesha wananchi kuingia katika utaratibu wa kuuza biashara kwa njia za kisasa. Kwa maelezo zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit
-
Malalamiko yaugubika mchakato wa uteuzi wa nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa Uganda +SAUTI
Oct 05, 2020 14:39Mustakbali wa vyama vyote vya siasa nchini Uganda kuhusiana na uchaguzi mkuu ujao nchini humo haueleweki kutokana na anga ya kisiasa ya nchi hiyo kugubikwa na malalamiko mengi. Kigozi Ismail na taarifa zaidi akiripoti kutoka Kampala...
-
Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti
Oct 02, 2020 15:11Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...
-
Sekta ya usafiri Uganda yalalamikia kubanwa mno wakati wa corona
Oct 02, 2020 15:07Serikali ya Uganda imezidi kupunguza masharti yanayohusiana na ugonjwa wa COVID-19 lakini pamoja na hayo, sekta ya usafiri imekumbwa na changamoto nyingi. Mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail, na maelezo zaidi.
-
Ukata wa fedha wavikabili vyama vya siasa Uganda +SAUTI
Sep 28, 2020 12:21Vyama vya siasa nchini Uganda vinakabiliwa uhaba mkubwa wa fedha za kuendesha shughuli zao ikiwa imebakia miezi michache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mashirika ya uchimbaji madini CAR yawekewa vikwazo na Marekani +SAUTI
Sep 28, 2020 12:18Serikali ya Marekani imeyawekea vikwazo mashirika mawili ya Russia yanayojishughulisha na kazi ya uchimbaji madini katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na kutishia kuwawekea vikwazo pia wataobainika kushirikiana na mashirika hayo.
-
Sala za Ijumaa zaanza upya nchini Uganda + Sauti
Sep 26, 2020 01:30Sala za Ijumaa zimeanza tena nchini Uganda baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na maambukizi ya kirusi cha corona. Katika hotuba za jana Ijumaa, Waislamu nchini humo walihimizwa kumtii Mola Karima na kuomba kusamehewa madhambi yao. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
-
Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa waliotoroka katika jela ya Moroto + SAUTI
Sep 18, 2020 09:04Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa katika msako wa kuwanasa wafungwa zaidi ya 219 waliotoroka jela ya Moroto wakiwa na bunduki 15
-
Mahakama ya Rufaa ya Cameroon yathibitisha adhabu ya kifungo cha maisha aliyopewa kiongozi wa waasi wa Ambazonia + SAUTI
Sep 18, 2020 08:58Mahakama ya rufaa ya Cameroon imeidhinisha hukumu ya kifungo cha maisha jela iliyotolewa dhidi ya kiongozi wa waasi wa Ambazonia wanaopigania kujitenga maeneo mawili ya nchi hiyo ya wanaozungumza Kiingereza Julius Sisiku Ayuk Tabe pamoja na wenzake tisa