Jengo la biashara la Michenzani Mall Zanzibar lazinduliwa na Rais Shein +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i63842-jengo_la_biashara_la_michenzani_mall_zanzibar_lazinduliwa_na_rais_shein_sauti
Rais wa Zanzibar Ali Muhammad Shein amesema kuwa serikali imejenga jengo la biashara la Michenzani Mall ili kuwawezesha wananchi kuingia katika utaratibu wa kuuza biashara kwa njia za kisasa. Kwa maelezo zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Oct 05, 2020 14:40 UTC