-
Ustadh Muhammad Qassim atoa tathmini kuhusu kuanzishwa uhusiano na utawala haramu wa Israel+SAUTI
Sep 17, 2020 11:11Hatua ya kisaliti ya tawala za Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel imeendelea kukabiliwa na malalamiko na upinzani mkubwa katika maeneo mbalimbali ya Ulimwengu wa Kiislamu
-
ACT Wazalendo yazindua rasmi kampeni zake Zanzibar kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 + SAUTI
Sep 15, 2020 14:10Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa kuwa rais wa visiwa hivyo ataandika katiba mpya itakayohakikisha wananchi wote wanapata haki zao za kimsingi bila kujali itikadi zao za kisiasa.
-
Mahojiano ya Salum Bendera na Sheikh Ali Ammar Mwazoa kuhusu kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW+SAUTI
Sep 13, 2020 05:09Kitendo cha gazeti la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchora tena vibonzo na vikatuni vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW kimeendelea kulaaniwa na kukemewa katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM azindua kampeni za uchaguzi +SAUTI
Sep 12, 2020 12:34Chama cha Mapinduzi CCM visiwani Zanzibar kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi tayari kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuufanyika kote Tanzania mwezi ujao wa Oktoba.
-
Sherehe za harusi zaruhusiwa Rwanda, lakini...
Sep 07, 2020 11:10Wizara ya serikali za mitaa nchini Rwanda imetangaza masharti mapya kwa watu wanaojiandaa kufunga pingu za maisha kwa kuwataka watu watakaohudhuria harusi zao wawe wamepima corona kwa muda wa saa 72 zilizopita kabla ya harusi yenyewe. Hata hivyo gharaza upimaji zitakuwa dola 50 kwa kila mtu mmoja kitu ambacho wananchi wamekilalamikia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso yashtakiwa nchini Ufaransa +SAUTI
Aug 24, 2020 11:57Mpinzani wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo Brazzaville ameishtaki serikali ya nchi hiyo katika mahakama moja nchini Ufaransa kwa kile alichokieleza kuwa, njama za serikali hiyo za kutaka kumuua akiwa uhamishoni.
-
Serikali ya Uganda yatakiwa kutoa ruzuku kwa usawa kwa vyama vya upinzani +SAUTI
Aug 24, 2020 11:52Serikali ya Uganda imetakiwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya vyama vya upinzani kama msingi imara wa kuthibitisha demokrasia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI
Aug 21, 2020 11:18Ikiwa imesalia miezi mitano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa pande zote nchini humo wamezidi kutupiana lawama nzito.
-
Mlipuko mkubwa wautikisa mji mkuu wa Lebanon, Beirut + video
Aug 04, 2020 12:39Mlipuko mkubwa umeutikisha mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Mlipuko huo umejiri leo jioni karibu na Bandari ya Beirut na inahofiwa kuwa watu wasiopungua 10 wamefariki.
-
Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama + SAUTI
Jul 28, 2020 12:37Serikali ya Uganda imesema, kutokana na sababu za kiusalama, haitaruhusu wakimbizi wa kila aina kuingilia kiholela nchini humo.