-
Francois Bozize kugombea Urais Jamhuri ya Afrika ya Kati +SAUTI
Jul 26, 2020 12:29Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Francois Bozize ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba licha ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa na kutolewa waranti dhidi yake wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu.
-
Bobi Wine azindua chama chake kipya cha kisiasa nchini Uganda +SAUTI
Jul 24, 2020 10:31Kiongozi machachari wa upinzani nchini Uganda, Mbunge Bobi Wine amewataka vijana kuwajibika kwa taifa lao na kutokubali kubakia nyuma katika utendaji na uchapaji kazi.
-
Swala ya kwanza ya Ijumaa yaswaliwa Hagia Sophia Uturuki baada ya zaidi ya miaka 85 +VIDIO
Jul 24, 2020 08:14Swala ya kwanza ya Ijumaa imefanyika leo katika jengo la Hagia Sophia mjini Istanbul baada ya jumba hilo la makumbusho kubadilishwa na kuwa msikiti.
-
Masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali Uganda yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti corona yamelegezwa+Sauti
Jul 23, 2020 00:32Serikali ya Uganda imelegeza masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali nchini humo yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti maambukizo ya virusi vya Corona
-
Binti wa hayati Patrice Lumumba, ataka mabaki ya mwili wa baba yake yarejeshwe DRC+Sauti
Jul 22, 2020 14:13Juliana Amato Lumumba, binti wa waziri mkuu wa zamani wa Kongo hayati Patrice Emery Lumumba, amemwandikia barua mfalme Philippe wa Ubelgiji ya kumtaka ajitwishe mzigo wa kurejesha mabaki ya mwili wa hayati baba yake
-
Wapinzani Uganda walalamikia kukandamizwa wakati huu wa kukaribia uchaguzi mkuu + Sauti
Jul 14, 2020 01:47Ikiwa imebakia miezi saba hadi kufanyika Uchaguzi Mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa vyama mbalimbali nchini humo wanawalalamikia askari wa kulinda usalama kwa kuwakandamiza. Taarifa zaidi anayo mwandishi wetu Kigozi Ismail kutoka Kampala
-
Spika wa zamani wa Gabon aanzisha kampeni ya kupinga kuhalalishwa ngono za jinsia moja + Sauti
Jul 13, 2020 22:06Spika Mstaafu wa Bunge la Gabon ameanzisha kampeni za kupinga sheria iliyopasishwa bungeni hivi karibuni ya kuhalalisha vitendo haramu vya kulawitiana na ngono za watu wa jinsia moja nchni humo. Amesema kuwa vitendo hivyo ni kinyume na mila na desturi za watu wa Gabon. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu, Mossi Mwasi kutoka Brazzaville.
-
DRC inasherehekea miaka 60 ya uhuru hali ikiwa bado mbaya + Sauti
Jul 01, 2020 03:15Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inasherehekea miaka 60 wa uhuru wake kutoka kwa mkonoloji wa Ulaya, Ubelgiji, huku hali ya amani na uchumi ikiwa bado ni mbaya sawa kabisa na ilivyokuwa muda mchache tu baada ya kujipatia uhuru huo. Mossi Mwassi na maelezo zaidi kutoka Brazzaville.
-
Baraza jipya la Mawaziri lala kiapo nchini Burundi + Sauti
Jul 01, 2020 03:12Baraza jipya la mawaziri wa serikali ya Burundi lilikula kiapo jana Jumanne mbele ya rais na mabaraza ya bunge na seneti. Chama kikuu cha upinzani cha CNL hakijashirikishwa katika serikali hiyo. Hamida Issa na malezo zaidi kutoka Bujumbura na maelezo zaidi.
-
Madrasa za Qur'ani Zanzibar zatakiwa kusubiri tamko la serikali kwa ajili ya kufunguliwa+SAUTI
Jun 29, 2020 14:14Masheikh na waalimu wa madrasa za Qur'ani visiwa Zanzibar wametakiwa kuendelea kuwa wavumilivu kutokana na kuchelewa kufunguliwa madrasa za Qur'ani hadi pale serikali itakapotoa taarifa rasmi.