-
Polisi Uganda inakabiliwa na kibarua kutoka kwa kundi la majambazi+SAUTI
Jun 29, 2020 13:54Polisi nchini Uganda inakabiliwa na kibarua kutoka kwa kundi la majambazi
-
Matukio ya Kiislamu Juma Hili + Sauti
Jun 26, 2020 23:54Matukio ya Kiislamu Juma Hili katika kanda ya Afrika Mashariki
-
Wazayuni wafanya ufisadi mkubwa nchini Cameroon + Sauti
Jun 26, 2020 12:19Rais Paul Biya wa Cameruni ameganda madararakani miaka nenda miaka rudi kwa msaada wa mamluki wa Kiyahudi ambao sasa wanalaumiwa kwa kuua watu wengi na pia kwa kupora mali ya uma nchini humo. Hayo ni matokeo ya uchunguzi wa waandishi wa habari wawili chini ya taasisi ya kupiga vita rushwa nchini humo. Mosi Mwasi na maelezo zaidi kutoka Brazaville
-
Bunge la Gabon lapitisha sheria inayowapa kinga ya kutoadhibiwa watu wa jinsia moja wanapofumaniwa wakifanya ngono +Sauti
Jun 25, 2020 12:31Bunge la Gabon lilikutana mwishoni mwa juma hili kupitisha sheria inayowapa kinga ya kutoadhibiwa watu wa jinsia moja wanapofumaniwa wakifanya kitendo cha ngono.
-
Uganda yaanza zoezi la kuwarejesha nyumbani wananchi waliokwamishwa na corona + Sauti
Jun 24, 2020 11:04Serikali ya Uganda imeanza kutekeleza zoezi la kuwarejesha nyumbani wananchi wa nchi hiyo waliokwama katika nchi za ndani na nje ya Afrika kutokana na kuenea ugonjwa wa COVID-19. Serikali ya Uganda imepanga kuwaweka kwenye karantini watu wote wanaorejea nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala
-
Serikali ya Burundi yatoa tamko rasmi la kufariki dunia rais wa nchi hiyo + Sauti
Jun 10, 2020 11:37Serikali ya Burundi imetangaza rasmi kifo cha rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza ambaye ameiongoza Burundi kwa muda wa miaka 15. Serikali ya Bujumbura imetangaza siku 7 za maombolezo ya kitaifa na bendera ya nchi hiyo itapepea nusu mlingoti.
-
SAUTI, Mufti wa Tanzania Abubakar Zubeir atoa mwongozo kuhusu Corona, Waislamu Kenya walaani mauaji ya polisi wa nchi hiyo dhidi ya baba na watoto wake wawili
Jun 05, 2020 11:35Ripoti ya matukio ya Kiislamu inahusu mwongozo uliotolewa na Mufti wa Tanzanua Sheikh Abubakar Zubeir Ali leo Ijumaa kuhusiana na ugonjwa wa Corona ambapo amemshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuitikia Dua za watanzania.
-
SAUTI, Asasi za kiraia Burundi zawajibu maaskofu waliopinga matokeo ya uchaguzi kwamba; 'wafundishe tu Biblia na waachane kabisa na siasa'
May 28, 2020 12:35Wakati Kanisa Katoliki nchini Burundi likitilia shaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa tarehe 20 mwezi huu uliompa ushindi mgombea wa chama tawala CNDD-FDD, mashirika ya kiraia yenye kuiunga mkono serikali yamelijia juu kanisa hilo.
-
SAUTI, Raia wa Kongo DR waandamana wakiitaka serikali kuchagua kati ya mambo mawili ima kuendekeza karantini au kusambaratika kwa uchumi
May 28, 2020 12:34Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano kulalamikia kuporomoka thamani ya sarafu ya nchi hiyo mkabala wa dola ya Marekani.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 11:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.