-
Evariste Ndayishimiye rais mpya wa Burundi + Sauti
May 25, 2020 21:50Tume ya uchaguzi ya Burundi, jana Jumapili ilimtangaza Evariste Ndayishimie kuwa rais mpya wa nchi hiyo huku ishara zote zikiwa zimeonesha tangu awali kabisa kwamba mgombea huyo wa chama tawala angelitangazwa mshindi katika uchaguzi wa rais.
-
Iran yaonesha ishara ya kuidhibiti corona, yafungua Haram za Imam Ridha na bibi Maasuma AS + Video
May 25, 2020 07:47Milango ya maeneo ya ibada na ziara yaani Haram za Imam Ridha AS, Imam wa Nane kutoka kizazi cha Bwana Mtume Muhammad SAW huko Mash'had na Haram ya Bibi Maasuma SA, ndugu wa kike wa Imam Ridha AS iliyoko Qum, kusini mwa Tehran leo Jumatatu asubuhi zimefunguliwa ikiwa ni ishara ya wazi ya kuzidi kudhibitiwa ugonjwa wa corona nchini Iran.
-
Zanzibar kupunguza marufuku za kukabiliana na COVID-19
May 24, 2020 12:38Serikali ya Zanzibar SMZ imesema imekusudia kupunguza masharti iliyokuwa imeyaweka hapo kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda: Washukiwa wote wa mauaji ya kimbari lazima watatiwa mbaroni wakati wowote ule
May 21, 2020 11:08Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali ya Rwanda amesema kuwa baada ya kumtia mbaroni mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya nchi hiyo ya mwaka 1994, bwana Felician Kabuga, msako unaendelea.
-
SAUTI, Hatimaye fedha za CFA zinazotumika na nchi za Afrika Magharibi zitaanza kuagwa hivi karibuni na badala yake kutumika fedha za ECO
May 21, 2020 11:07Hatimaye bunge la Ufaransa limepitisha sheria ya kuondoa udhibiti wake kwenye fedha za CFA ambazo zilikuwa zikitumika katika makoloni yake ya zamani ya Afrika Magharibi.
-
Kwa uchache watu 11 wajeruhiwa Australia baada ya dereva mmoja kulipigiza gari na duka la Hijab + Video
May 21, 2020 03:38Kwa uchache watu 11 wamejeruhiwa baada ya gari moja kuvamia kwa makusudi duka moja la nguo za staha ya mwanamke Muislamu yaani Hijab huko Greenacre, New South Wales, Australia. Dereva wa gari hiyo amegonga gari nyingine kabla ya kukanyaga mafuta kwa nguvu zote na kuipigiza gari hiyo na duka hilo la Hijab.
-
SAUTI, Kadiri ugonjwa wa Covid-19 unavyoendelea kuenea na kuua, ndivyo unavyowaibua watu wanaodai kuupatia dawa
May 19, 2020 12:10Huku ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya Corona ukiendelea kuwakumba na kuwawafanya watu wengi kuwa wahanga, kumeendelea pia kushuhudiwa juhudi za kukabiliana na janga hilo.
-
SAUTI, Uchaguzi mkuu wa Jumatano ijayo nchini Burundi maandalizi yamekamilika, kusimamiwa na mabalozi
May 18, 2020 12:29Maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Burundi utakaofanyika siku ya Jumatano ya wiki hii yamekamilika.
-
SAUTI, Waislamu wahimizwa kutozembea kuzipata fadhila za 'Usiku wa Heshima' katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhani
May 18, 2020 11:05Waislamu wamehimizwa kuendeleza ibada mbalimbali ndani ya kumi la mwisho la mwezi huu wa Ramadhani ili kuweza kupata fadhila za Usiku wa Heshima (Lailatul-Qadr).
-
SAUTI, Madereva wa malori kutoka nchi za Kenya na Tanzania: Tunapoingia Uganda tunapachikwa jina la Corona sambamba na kunyanyaswa
May 13, 2020 12:06Madereva wa malori ya masafa marefu kutoka Kenya na Uganda kwenda nchi jirani ya Uganda wamelalamikia vitendo vya kunyanyaswa na kunyanyapaliwa baada ya kuingia nchi hiyo.