Wazayuni wafanya ufisadi mkubwa nchini Cameroon + Sauti
(last modified Fri, 26 Jun 2020 16:49:35 GMT )
Jun 26, 2020 16:49 UTC

Rais Paul Biya wa Cameruni ameganda madararakani miaka nenda miaka rudi kwa msaada wa mamluki wa Kiyahudi ambao sasa wanalaumiwa kwa kuua watu wengi na pia kwa kupora mali ya uma nchini humo. Hayo ni matokeo ya uchunguzi wa waandishi wa habari wawili chini ya taasisi ya kupiga vita rushwa nchini humo. Mosi Mwasi na maelezo zaidi kutoka Brazaville