Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Congo Brazaville

  • Asasi za kiraia, wapinzani wataka kuachiwa huru kinara wa upinzani Congo Brazzaville

    Asasi za kiraia, wapinzani wataka kuachiwa huru kinara wa upinzani Congo Brazzaville

    May 17, 2025 10:28

    Vyama vya siasa, mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kiraia zimeedelea kushinikiza kuachiwa huru kinara wa upinzani nchini Congo Brazzaville, anayedaiwa kutekwa nyara hivi karibuni.

  • M23 wadai kuuteka mji wenye madini muhimu wa Rubaya, mashariki ya DRC

    M23 wadai kuuteka mji wenye madini muhimu wa Rubaya, mashariki ya DRC

    May 04, 2024 02:32

    Kundi la waasi la M23 ambalo linadaiwa kuwa na uhusiano na Rwanda limetangaza kwamba, limeuteka mji wa Rubaya ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambao ni maarufu kwa madini muhimu yanayotumika katika utengenezaji wa simu za kisasa za mkononi.

  • Askari wanne wauawa DRC na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Mai-Mai

    Askari wanne wauawa DRC na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Mai-Mai

    Aug 13, 2022 08:16

    Vijana wanaoaminika kuwa wameungana na wanamgambo wa kundi la Mai-Mai wamewaua maafisa wa polisi wanne na kuwajeruhi wengine watatu, kwenye kituo cha ukaguzi cha Kangote, katika mji wa Butembo, mkoani Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI

    DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI

    Dec 29, 2021 12:13

    Jeshi la Uganda linasema limefanikiwa kudhibiti kambi kubwa ya waasi wa ADF, inayofahamika kama Kambi Ya Yua iliyokuwa inawahifadhi waasi zaidi ya 600 na familia zao, katika operesheni zao inazoshirikiana na wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mashariki mwa nchi hiyo.

  • Mgombea wa urais Congo Brazaville aaga dunia kwa Covid-19

    Mgombea wa urais Congo Brazaville aaga dunia kwa Covid-19

    Mar 22, 2021 11:02

    Mgombea wa urais aliyetazamiwa kumpa ushindani mkubwa Rais Denis Sassou Nguesso katika uchaguzi wa rais wa jana katika Jamhuri ya Congo Brazaville ameaga dunia kwa ugonjwa wa Covid-19.

  • WHO  yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC

    WHO yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC

    Feb 20, 2021 03:10

    Shirika la Afya Duniani WHO limeanza zoezi la kutoa chanjo ya Ebola ili kukabiliana na mlipuko mpya wa ugonjwa huo nchini Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

  • Wazayuni wafanya ufisadi mkubwa nchini Cameroon + Sauti

    Wazayuni wafanya ufisadi mkubwa nchini Cameroon + Sauti

    Jun 26, 2020 16:49

    Rais Paul Biya wa Cameruni ameganda madararakani miaka nenda miaka rudi kwa msaada wa mamluki wa Kiyahudi ambao sasa wanalaumiwa kwa kuua watu wengi na pia kwa kupora mali ya uma nchini humo. Hayo ni matokeo ya uchunguzi wa waandishi wa habari wawili chini ya taasisi ya kupiga vita rushwa nchini humo. Mosi Mwasi na maelezo zaidi kutoka Brazaville

  • Wahalifu wanaotafuta damu ya watoto 1000 kufanya kafara Gabon wamekuwa janga + Sauti

    Wahalifu wanaotafuta damu ya watoto 1000 kufanya kafara Gabon wamekuwa janga + Sauti

    Jan 28, 2020 02:30

    Wazazi katika mji mkuu wa Gabon, Libreville, Jumatatu, Januari 27, 2020 hawakuwaruhusu watoto wao kwenda skuli licha ya serikali kuweka ulinzi mkali katika skuli zote za mji huo mkuu. Wazazi hao wanasema kuwa hatua hiyo pekee haiwezi kuwazuia wahalifu wanaotafuta damu za watoto elfu moja kama kafara ya kuwabakisha madarakani. Mossi Mwasi na maelezo zaidi kutoka Brazzaville.

  • Mvua kubwa zazidi kusababisha maafa katika nchi mbalimbali za Afrika + Sauti

    Mvua kubwa zazidi kusababisha maafa katika nchi mbalimbali za Afrika + Sauti

    Oct 30, 2019 16:41

    Mvua kubwa zinazonyesha katika nchi za Afrika ya Kati hususan Cameroon na Jamhuri ya Afrika ya Kati zimesababisha maafa makubwa ya watu wengi kupoteza maisha yao na pia makazi. Kwa maelezo zaidi, tumtegee sikio mwandishi wetu wa Afrika ya Kati. Mosi Mwasi, akiripoti kutoka Brazzaville

  • Umoja wa Mataifa waliunga mkono jeshi la Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda

    Umoja wa Mataifa waliunga mkono jeshi la Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda

    Sep 08, 2019 02:56

    Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa unaliunga mkono jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda wa ADF.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS