-
Mvua kubwa zazidi kusababisha maafa katika nchi mbalimbali za Afrika + Sauti
Oct 30, 2019 13:11Mvua kubwa zinazonyesha katika nchi za Afrika ya Kati hususan Cameroon na Jamhuri ya Afrika ya Kati zimesababisha maafa makubwa ya watu wengi kupoteza maisha yao na pia makazi. Kwa maelezo zaidi, tumtegee sikio mwandishi wetu wa Afrika ya Kati. Mosi Mwasi, akiripoti kutoka Brazzaville
-
Umoja wa Mataifa waliunga mkono jeshi la Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda
Sep 07, 2019 22:26Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa unaliunga mkono jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda wa ADF.
-
Tshisekedi atangaza baraza jipya la mawaziri Congo DR
Aug 26, 2019 05:12Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametangaza serikali mpya ya nchi hiyo leo Jumatatu, miezi 8 baada ya Felix Tshisekedi kushinda uchaguzi wa rais.
-
Mapigano katika mji ulioathiriwa na Ebola DRC yaua watu 9
May 08, 2019 09:15Kwa akali watu tisa wameripotiwa kupoteza maisha katika mapigano baina ya askari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wanamgambo waliobeba silaha katika mji wa Butembo ulioathiriwa na ugonjwa hatari wa Ebola.
-
WHO kuunda kamati ya kujadili mlipuko wa Ebola Congo DR
Oct 16, 2018 04:39Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa litaitisha kikao cha kamati ya dharura ya kuamua iwapo mlipuko wa sasa wa maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni mgogoro wa umma unaoitia wasiwasi jamii ya kimataifa au la.
-
Aliyekuwa mgombea urais wa upinzani Kongo Brazzaville afungwa miaka 20 jela
May 12, 2018 03:10Aliyekuwa mgombea wa urais wa chama cha upinzani cha FROCAD nchini Jamhuri ya Kongo Brazaville, Jenerali mstaafu Jean-Marie Michel Mokoko amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuhujumu usalama wa taifa na kumiliki silaha kinyume cha sheria.
-
Waasi washambulia nyumba ya Rais Kabila, waua askari mmoja Congo DR
Mar 29, 2018 23:41Waasi wa kundi la Mai Mai wameshambulia nyumba ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo karibu na mji wa Beni huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuua askari mmoja.
-
Botswana yamtaka Kabila Ang'atuke madarakani Congo
Feb 27, 2018 03:12Botswana imemtaka Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ang'atuke madarakani.
-
Polisi ya Rwanda yaua wakimbizi wa Congo
Feb 23, 2018 01:14Polisi ya Rwanda imeua idadi kadhaa ya wakimbiizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliokuwa wakifanya maandamano mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa.
-
Mgogoro mkubwa wa Congo DR ndio uliopuuzwa zaidi mwaka 2017
Dec 20, 2017 00:13Uchunguzi wa maoni uliofanywa na mashirika ya misaada ya kibinadamu umebaini kuwa, mgogoro mkubwa wa kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ndio uliopuuzwa zaidi katika mwaka huu unaomalizika wa 2017.