Mvua kubwa zazidi kusababisha maafa katika nchi mbalimbali za Afrika + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i56956-mvua_kubwa_zazidi_kusababisha_maafa_katika_nchi_mbalimbali_za_afrika_sauti
Mvua kubwa zinazonyesha katika nchi za Afrika ya Kati hususan Cameroon na Jamhuri ya Afrika ya Kati zimesababisha maafa makubwa ya watu wengi kupoteza maisha yao na pia makazi. Kwa maelezo zaidi, tumtegee sikio mwandishi wetu wa Afrika ya Kati. Mosi Mwasi, akiripoti kutoka Brazzaville
(last modified 2025-11-23T06:16:50+00:00 )
Oct 30, 2019 16:41 UTC